A guy asked a girl in a library; Do you mind if I sit beside you?
The girl answered with a loud voice; "I DON'T WANT TO SPEND THE NIGHT WITH YOU!!!.
All the students in the library started staring at the guy and he was embarrassed. After a couple of minutes, the girl walked quietly to the guy's table and she told him I study psychology and I know what a man is thinking, I guess you felt embarrassed right?"
The guy responded with a loud voice: "$200 JUST FOR ONE NIGHT!!!? THAT'S TOO MUCH!!!"
and all the people in the library looked at the girl in shock and the guy whispered in her ears; I study Law and I know how to make someone feel guilty"
umbea noma bint kakaa kwenye daladala anaandika msg huku kashika kibegi chake jamaa m1 pembeni akawa anakomaaa kuangalia bint anaandika nn bint akashtukia akaamua kuandika hivi .... yule nyoka mbona ujamtoa meno ya sumu anasumbua kwenye begi anataka kutoka cjui nimfanyeje na alivyo mkubwa!! Jamaa kuona vile akasogea pembeni bint nae hakumchelewesha akamrushia begi jamaa akakulupuka na kelele nyoka nyoka nakufa!!
Binti: ukome kusoma msg za watu
nawatakia usiku mwema
Kama una anuan ya mwl.Nyerere naomba umtumie barua yake hii:
Dear Mwl. Nyerere,
Tangu uondoke hal hapa Tanzania
imebadilika, siku hizi mlima Kilimanjaro uko Kenya, ziwa Nyasa liko Malawi,
Tanzanite iko Kenya, Tanesco ni ya
Lowassa, Sheikh Ponda ndo IGP japo
hajateuliwa na Rais, na pia Rais wetu siku
hizi anaishi Airport. Mwl huku historia imebadilika
kuwa Tanzania imetokana Tanganyika na visiwa vya zimbabwe, Uhuru tulipata mwaka 1961. Mwl huku hal c shwari kwani mwanafunz anahitimu huku hajui Kusoma&kuandika na anafaulu mtihan! Hv Tufanyeje Mwalim Ili Kuinusulu Nchi Yetu Kama Inawezekana rudi Mwalim.
Kwa kweli mimi nasoma sana msg za majirani zangu kwenye bus na sizani kama ntaancha hii tabia.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums