umbea mbaya.

umbea mbaya.

Kuna Watu kwa kujifanya wanajua sana. We hata kama umeizoea si uuchune tu kwani utaumia wapi?
 
hahahahahahahahahahhaaaaaaaa nimechekaje mie bestito yani hapa ofisini mpaka wamenishangaa sana
Denti kakaa kwenye dala dala anaandika sms kwenye simu yake, huku kashika kibegi chake cha shule.

Mzee mmoja pembeni akawa anakomaa kuangalia dogo anaandika nini, macho yanamuwasha kwa UMBEA.
Dogo akaamua kubadili sms, akaandika

"Yule nyoka uliyenipa inaelekea hujamtoa meno ya sumu, hapa nilipo anasumbua kwenye begi anataka kutoka, yaani sijui nitafanyaje na alivyo mkubwa. Akitoka ataniletea tabu hadi mimi, hebu tushauriane nafanyaje"

Babu kuona vile akaanza kusogea pembeni na kujikausha km hajasoma chochote. Denti akachukua kibegi akamrushia.

Mzee akaruka dirishani fasta huku akigutia Nyoooookaaaaaaaaa, Naakuufaaaaaaaa!!!!!

Nini kinachomuua kizee, nyoka au umbea wake wa kuchabo sms?
 
hahahahahahahahahahhaaaaaaaa nimechekaje mie bestito yani hapa ofisini mpaka wamenishangaa sana

Shostito umbea sehemu zengine nouma.....waeza adhirita...taratibu lakini mbavu zako, twazihitaje bado lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom