umbea mbaya.

umbea mbaya.

Si mchezo; Imetulia. Najaribu kuvuta hisia itakavyoripotiwa kwenye magazeti yetu - "Mzee huyo alifariki/alipata majeraha hayo akiwa katika harakati za kujiokoa na nyoka aliyekuwa kwenye begi la mwanafunzi" :doh:
 
Si mchezo; Imetulia. Najaribu kuvuta hisia itakavyoripotiwa kwenye magazeti yetu - "Mzee huyo alifariki/alipata majeraha hayo akiwa katika harakati za kujiokoa na nyoka aliyekuwa kwenye begi la mwanafunzi" :doh:

Ha ha haa, lazima iripotiwe ki umbea umbea kama babu mwenywe.

Umbea siyo kitu kizuri hata kidogo. Ni nouma.
 
Ah kama siyo nyie wake babu asingekuwa mmbea, nyie ndo metufundisha wanaume japo mi megoma kujifunza.
 
Denti kakaa kwenye dala dala anaandika sms kwenye simu yake, huku kashika kibegi chake cha shule.

Mzee mmoja pembeni akawa anakomaa kuangalia dogo anaandika nini, macho yanamuwasha kwa UMBEA.
Dogo akaamua kubadili sms, akaandika

"Yule nyoka uliyenipa inaelekea hujamtoa meno ya sumu, hapa nilipo anasumbua kwenye begi anataka kutoka, yaani sijui nitafanyaje na alivyo mkubwa. Akitoka ataniletea tabu hadi mimi, hebu tushauriane nafanyaje"

Babu kuona vile akaanza kusogea pembeni na kujikausha km hajasoma chochote. Denti akachukua kibegi akamrushia.

Mzee akaruka dirishani fasta huku akigutia Nyoooookaaaaaaaaa, Naakuufaaaaaaaa!!!!!

Nini kinachomuua kizee, nyoka au umbea wake wa kuchabo sms?

atakuwa na asili ya wazaramo...
 
umbea wake cz acngepga chabo acngepata zote hzo.wapo weng xana wa2 ka hao wanaopenda kuchabo text za wa2 whle unasafr
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom