Umatra na tbs vipi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umatra na tbs vipi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Kimboko, May 19, 2012.

 1. K

  Kimboko Member

  #1
  May 19, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wah. salaam, hivi inakuwaje SUMATRA NA TBS walitangaza kazi muda mrefu sana na hadi sasa hawajaita watu kwenye usahili, au ilikuwa chnga la macho watu wao wameshaanza kazi!!!!!!! Tuambizane wajemeni
   
 2. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  umejuaje kama hawajaita watu?
   
 3. u

  ulanzi mtamu Senior Member

  #3
  May 19, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  endelea kusubiri utaitwa tuu..
   
 4. K

  Kimboko Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nitasubiri hadi lina ndugu, njaa haisubiri au unasubiri ukiwa umefunga si itanikuta nimekufa njaa
   
 5. K

  Kimboko Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawajanipigia wala kuniandikia kwenda!
   
 6. a

  admirable Member

  #6
  May 22, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  tbs waliita watu wao,,,wengine tuliitwa na secretary cku ya interview tukarudishwa tunaulizwa tuliletwa na nani?
   
 7. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Ukiona hukuitwa ujue sifa zako ni ndogo/dhaifu (you have low/poor qualifications)
   
 8. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Duh hii kali
   
 9. M

  MASIKITIKO JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 841
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 60
  Ajira nyingi siku hizi za kujuana,kama sio mtoto wa mjomba au rafiki mara chache kupata bila kushikwa mkono!
   
Loading...