Umaskini wa watu mtwara nusura umtoe Lema machozi

lakini tujiulize kwani ccm
ndo inamfanya mtu asishike jembe akalime...Mikoa ya pwani baadhi ya watu
wanatabia za kimwinyi yaani kutopenda kujishughuli wala kuonyesha juhud
katika kazi zao..
Kama ukishindwa kutumia nguvu yako na akili yako unadhan nani
atakakukomboa kutokana na umaskin..

Kwa mbaali kuna kaukweli, mibaba mizima huko inaogopa ng'ombe inaita mdudu!
Mbuzi akisimama mlangoni pa nyumba baba hawezi kuingia hadi mbuzi atoke, eti wanaogopa!
 
CCM kweli hawana huruma,ni bora wakoloni warudi tu kuliko juendelea kumilikiwa na kampuni linalo julikana kama CCM LTD, wametuibia hadi mifukoni mwetu,eeeeeee Mungu uliye waokoa wana wa islael toka mikononi mwa farao, tuokoe nasi watanzania kutoka mikononi mwa CCM
 
Lakini inabidi tufanye uchunguzi wa kina kuhusu chanzo cha umasikini wa mikoa kusini.je ni ardhì yao haina rutuba au ni wavivu?Je wamewekeza vipi katika elimu na afya?Na swali la mwisho je miundombinu inayounganisha mikoa kusini na na sehemu nyingine za Tanzania au kusini na nchi za kusini(msumbiji,malawi na zambia) ziko za kuaminika ili kuongeza mzunguko wa pesa?

Swali zuri umeuliza. Mimi (geologist) niliwahi kufanya kazi huko (MT) na sehemu nyingi kule nilitembelea pamoja na Lindi pia. Nilichokiona kule si ujinga na si uvivu as such kwani kule sijawahi kusikia kuna njaa as watu wa kule wanalima sana na ardhi yao ina rutuba sana kwani kila kitu kule kinastawi. Angalieni mazao yao kwa mfano: Korosho wanazo za kutosha na ununuliwa kwenda nchi za nje tena kwa kugombaniwa. Ufuta wao ndio kiboko hapa Tanzania. Hakuna mkoa wenye kulima ufuta bora hapa tanzania zaidi ya Lindi n Mtwara, nani anabisha hilo? Mbaazi zao ni kiboko zinashindana na za Arusha kwa ubora. Kwa mtazamo wangu, matatizo ya kule ni kama ifuatavyo: (i) bad governance - Serikali (TANU/CCM). Utakuta mkulima anapalia shamba lake toka mwanzo hadi mwisho na anagharimia pesa kibao. Wakati wa mauzo serikalini, wale jamaa wa serikali huwalipa wakulima pesa kidogo tena kwa kuwalalia na hawazilipi zote (wanalimbikiza mpaka mwakani). Mkulima huyo huyo ana watoto na ana mahitaji, afanyeje? Mwaka unaofuatia akienda kuwauzia tena serikali analaliwa na kulipwa pesa nusu zile za mwaka jana na juzi hajalipwa, serikali inajua hili na they don't do anything about it. Sasa huyu mkulima atajikwamuaje? This is bad governance led by TANU/CCM since then mpaka hapa tulikofika. Wakati wa TANU, Nyerere aliinyima fursa mikoa ya kusini kuendelea kwani alishaona ama alijuwa dalili ya ile mikoa na utajiri wao, hivyo akawa anatumia propaganda ili watu wa kule wasijione bora kuliko mikoa mingine na kupata mwamko wa ukombozi. Ki wastani mikoa hii ya Lindi na Mtwara ndiyo mikoa tajiri shinda mikoa yeyote hapa Tanzania kutokana na rasilimali zao achana na almasi za Shinyanga na Mwanza, kusini haina mfano. I am a geologist, I know what I am talking about. (ii) uislam ni mwingi sana kwenye hii mikoa (samahani kwa ukweli). Yaani wanapenda sana tabia za kale zile za kimwinyi bila hata sababu yeyote ya msingi. Na si hii mikoa tu, fika mikoa yeyote hapa TZ ambako uislam unashamiri sana i.e. Kigoma, zanzibar, Pemba, Tabora, Pwani, Tanga, na baadhi ya sehemu nyingi za mkoa wa Kagera, utaona maendeleo ni finyu mno kutokana na upuuzi huu wa kubeza umwinyi bila sababu. There's a reason why people go to school. Nakumbuka miaka ya 80 kule MT, wazee/wazazi wengi vijijini walikuwa hawawapeleki watoto wao shule kwani walikuwa hawaoni umuhimu wake, ila waliwapeleka madrasat eti ndiko kuna umuhimu. Mh. Hawa Ghasia anajuwa hili kwani hata kule kwao Naumbu nilifanya kazi na watu wengi kwao wameenza kwenda shule miaka hii ya karibuni baada ya kuona madrasat haina faida kwao, muulizeni atawaambia. Kwa kifupi, bila shule hakuna mwamko wa maendeleo kamwe, na hii ndiyo shida ya watu wa kusini. Huu ndo mtazamo wangu.
 
Back
Top Bottom