Umaskini ndio unafanya nchi kutofika mbali Wananchi wa Tanzania kukosa ufanisi, umakini na kuwa na IQ kubwa

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,740
Napo zungumzia umaskini na jumlimsha kuanzia maskini, tajiri, wasomi, masheik, wachungaji, wakristo, wailsamu, wabudu majini, wabunge, wanasheria, mawaziri, wataalamu mpaka mkuu wa nchi.

Wote sisi maskini tukubari hata kama unajua kuandika na kusoma na kutumia pesa.

Upigaji unaokuwepo serikali tambueni wote wale ni maskini ndio maana hawajatosheka.

Wasomi tunaowategemea mfano Mwijaku, Dkt. Tulia na wengine wote ni maskini wakiendeshwa na njaa zao mpaka unaweza kujiuliza wamekosa nini.

Kila sehemu utaona kuwa wote ni maskini ndio maana akili zetu zinawaza kumaliza shida zetu zilizotengenezwa tokea kupata uhuru.

Matajiri nao ni maskini tuliopo nao hapa Tanzania mifano tunayo wakizidi kugombania na maskini wanzake.

Waangalie wabunge wale waliopo bungeni na chama tawala unaona ni umaskini ndio maana bungeni hakuna kinachoeleweka sababu ya umaskini wao.

Umaskini
 
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?"
 
Back
Top Bottom