Umasikini wa kutisha hapa Marekani

Umasikini wa kutisha hapa Marekani

Nimepita mitaa ya Skid Row hapa downtown Los angeles, silicon valey kule Bay area, Hollywood, Hali ya ufukara inatisha, mitaa ya majiji kama Detroit na Atlanta pia kuna hali mbaya sana ya umaskini na idadi kubwa sana ya homeless ambao hata huko africa kuna nafuu
Turushie basi kavideo kake tulinganishe na Manzese yetu ya hapa bongo.
 
S
We jamaa una tatizo sio bure! Sasa hapo unaona umeandika nini! [emoji1787] Watu kama nyie ndio mnasababisha jua liwe kali bongo Yaani uko huko buza kwa mpalange na Tecno yako toleo la mwaka 2002 huku uso ukiwa mzito kama uji wa mtama unakuja kujibizanana na mtu anaye katiza mitaa ya Silicon Valley kweli?
Sasa wewe umesema hiyo mitaa ni masikini na wewe upo huko Mkuu mbona unajichanganya na ulichoandika? Umesema bora Buza kwa mpalange kuliko hiyo mitaa ya States...
 
Turushie basi kavideo kake tulinganishe na Manzese yetu ya hapa bongo.
Mara nyingi waliotoka moja kwa moja Tanzania na kwenda USA wanakua na picha tofauti na anayoikuta ndio kucha kuja kudanganyana watu huku na ukute ameenda harafu karudi yupo zake Temeke ataandika kukatisha watu tamaa Kana kwamba hakuna wanaofanikiwa huko hivi tunavyoongea mpaka wa Mexico na USA umejaa watu wakitegemea section 42 ile sheria ya uhamiaji aliyokuja nayo Trump itafika kikomo na wao kuanza kuruhusiwa kuingia mahakama kuu imeingilia kati mpaka hapo watakapoamua tena wamepita Nchi nyingi huko waingie USA si wangekuja huku Bunju ili wale Pweza kama anachoandika anadhani ni rahisi kueleweka kwenye jamii ya Wasafiri...
 
kuna watu ukiwaambia nchi za watu zipo vipi unaambiwa tuna roho mbaya. nyie wa kujiripua mtaishia kulala barabarani huko sio poa .
Umesoma andiko vizuri? Rudi kusoma tena
Marekani usipofanya kazi utakuwa homeless maana mfumo wa capitalism unahitaji mtu afanye kazi apate hela.
 
Umesoma andishi langu vizuri?? Au umesoma haraka haraka? Nimesema waafrica wahamiaji kutoka Africa wengi wao wamefanikiwa sana hapa marekani. Kuna fursa nyingi za kufanya mtu kufanikiwa. Unafuu wa africa ni kuwa maskini wa africa atleast hata ana shamba huko kijijini huku maskini ni maskini haswa yaani hata pa kulala hana.

I get your point, masikin wa Daslam akijipindua mkuranga , Kibaha au Kisarawe anakula hata mihogo
 
Wakuu,

Heri ya mwaka mpya!

Ni muda sijaingia hapa Jamvini, hasa baada ya kuwa busy na mambo ya kimaisha. Leo nataka kuzungumzia umaskini wa kutupa kwenye Taifa hili kubwa kuliko Yote duniani kiuchumi yaani USA.

Nimepita mitaa ya Skid Row hapa downtown Los angeles, silicon valey kule Bay area, Hollywood, Hali ya ufukara inatisha, mitaa ya majiji kama Detroit na Atlanta pia kuna hali mbaya sana ya umaskini na idadi kubwa sana ya homeless ambao hata huko africa kuna nafuu.

Kwa mtazamo wangu ni kuwa kwanza Taifa halipaswi kuwa asilimia mia moja ni capitalism! Hii imetengeneza gap kubwa sana la wenye nacho na wasio nacho hapa marekani.

Umaskini mkubwa uko kwa wamarekani wenye asili ya Africa na wengi nilio kutana nao hawataki kazi na wana chuki kubwa sana kwa wazungu, na wageni! Japo pia wapo wazuri wasio na shida na mtu.

Biashara ya madawa ya kulevya kwa kiwango kikubwa inafanywa na Africa american wakishindana na latinos na wengi wamejaa kwenye magereza kuliko watu wengine wowote wale!

wahamiaji kutoka Africa, wamefanikiwa sana, japo pia kuna ambao wamepigika hapa kiuchumi. Lakini majority kwakweli wanapambana haswa.

Ni mwafrika mmoja tu nilikutana naye ambaye ni homeless na ni kwa vile ni drug addict ila wengi wana jiweza wakiongozwa na wanaigeria, wakenya baadhi huku wasomalia wakiwa juu kiuchumi yaani wana hadi Mall zao kubwa tu.

Kwa kiwango kikubwa waafrica walioko hapa ni wapambanaji mno na wengi wana take over uchumi wa hii nchi. Kwa upande wa African American kwakweli hali katika kila homeless utakao kutana nao mjini wanne kati ya watano ni Africa American!
Kwa hiyo wenzetu umasikini wao ni wa kujitakia au nimekuelewa vibaya?
Vipi huku kwetu?
 
Wamerekani weus hiyo mentality yao haijaachana kabisa na wenyeji wa Africa Kusini( Dzonga), ulevi, starehe na chuki kwa wageni inawafanya wajikute si wachapa kazi....BIG UP kwa wasomali hawa jamaa kwenye Taifa lolote utakalowakuta lazima wawe wametake over ishu ya Biashara na wakifuatiwa na wapopo. Wabongo weng kwenye mataifa ya wengne hawana umoja wa hivoo disorganised.
Ukweli mchungu. Japo wanongo nao nowdays wanapambana japo kimya kimya ... maana bado kuna zile mentality za kutokushare fursa... yani mtu akiona fursa hataki wengine wajue, ni heri wakose wote.. au afanye yeye peke yake
 
Unajua madhila waliyopitia na wanayoendelea kupitia Wamarekani weusi wengi huko America ??
Unafahamu Wamarekani weusi ni kizazi cha watumwa ambacho bado kinapambana na legacy ya utumwa na ubaguzi systematic mpaka leo??
Victim mentality
 
Ndiyo maana nilishtuka mapema kwenda US. Kwa profession yangu kwenda huko ni dakika 0, mimi nikienda nina uhakika wa maisha, ila nikianza kufikiria kizazi changu kinachofuata kwa life la huko roho inagoma kabisa kuwapeleka huko.

Wanaweza wakaja kujiingiza kwenye lifestyle ya hao niggers mambo yakawa ndivyo sivyo.
Ukiwajenge misingi mizuri , tabia njema malezi bora .. hawawezi mkuu.. zipo familia nyingi za wazungu na hao black wameleelwa kwa misngi ya dini kuanzia kwenye familia mpaka community zao
 
Wakuu,

Heri ya mwaka mpya!

Ni muda sijaingia hapa Jamvini, hasa baada ya kuwa busy na mambo ya kimaisha. Leo nataka kuzungumzia umaskini wa kutupa kwenye Taifa hili kubwa kuliko Yote duniani kiuchumi yaani USA.

Nimepita mitaa ya Skid Row hapa downtown Los angeles, silicon valey kule Bay area, Hollywood, Hali ya ufukara inatisha, mitaa ya majiji kama Detroit na Atlanta pia kuna hali mbaya sana ya umaskini na idadi kubwa sana ya homeless ambao hata huko africa kuna nafuu.

Kwa mtazamo wangu ni kuwa kwanza Taifa halipaswi kuwa asilimia mia moja ni capitalism! Hii imetengeneza gap kubwa sana la wenye nacho na wasio nacho hapa marekani.

Umaskini mkubwa uko kwa wamarekani wenye asili ya Africa na wengi nilio kutana nao hawataki kazi na wana chuki kubwa sana kwa wazungu, na wageni! Japo pia wapo wazuri wasio na shida na mtu.

Biashara ya madawa ya kulevya kwa kiwango kikubwa inafanywa na Africa american wakishindana na latinos na wengi wamejaa kwenye magereza kuliko watu wengine wowote wale!

wahamiaji kutoka Africa, wamefanikiwa sana, japo pia kuna ambao wamepigika hapa kiuchumi. Lakini majority kwakweli wanapambana haswa.

Ni mwafrika mmoja tu nilikutana naye ambaye ni homeless na ni kwa vile ni drug addict ila wengi wana jiweza wakiongozwa na wanaigeria, wakenya baadhi huku wasomalia wakiwa juu kiuchumi yaani wana hadi Mall zao kubwa tu.

Kwa kiwango kikubwa waafrica walioko hapa ni wapambanaji mno na wengi wana take over uchumi wa hii nchi. Kwa upande wa African American kwakweli hali katika kila homeless utakao kutana nao mjini wanne kati ya watano ni Africa American!
Mfumo sahihi kwenye nchi ili kubalance mambo ni SERIKALI YA KIJAMAA NA UMA WA KIBEPARI kuna mifumo nne kwa mujibu wa akili yangu, nayo ni
1 serikali ya kijamaa na uma wa kijamaa
2 serikali ya kibepari na uma wa kibepari
3 serikali ya kibeperi na uma wa kijamaa
4 serikali ya kijamaa na uma wa kibepari
Sasa hapo ukichunguza utagundua kwanini watu wanajaribu kuponda ujamaa kwa kupitia rais wa kwanza wa nchi yetu tz utagunduwa wameshindwa kugundua hii mifumo minne. Serikali ya Nyerere ilikwama kwa sababu ya mfumo no 1 yaani Serikali ya kijamaa na kutaka uma pia huwe wa kijamaa ...ninaposema uma huwe wa kijamaa namaanisha sekta binafsi ndaniyake hii ndiyo ilimkwamisha nyerere na wajinga wakapata sababu uchwara ya kupinga ujamaa kwa ujumla.
Ila ukweli ni kwamba Ujamaa ni nguzo ya taifa lenye watu wenye akili timamu......ila mfumo sahihi wa serikali ulio takiwa ni mfumo no 4 ambao ni Serikali ya kijamaa na uma wa kibepari.
Kwa sasa watanzania chini ya ccm imetutia kwenye mfumo mbaya sana wa no 2 ambao ni Serikali ya kibepari na uma wa kibepari mfumo huu ni hatari maana serikali inageuzwa kuwa ni mali binafsi ya watu wachache kwa maslai yao na familia yao na kuwa kama kampuni yao binafsi wala siyo mali ya uma.
Mfumo no 1 na no 2 na no 3 yote ni mifumo mibaya kwa taifa mfumo sahihi na madhubuti ni mfumo no 4
 
Iko hivi hapo nimejaribu kuweka tofauti kwa maana ya kuwa kuna africa american wazawa yaani walio zaliwa hapa US ambao walikuja kama watumwa! Wana majina kama Nigro, Niga na mengineyo alafu kuna waafrica wahamiaji yaani wale ambao hawakuja kama watumwa! Sasa hawa Negro wana wabagua wale waafrica ambao ni wahamiaji ila hawakuja enzi za utumwa! Sijui kama umenielewa hapo
AKAN njoo huku amejibu vyema kabisa nimemuelewa.
 
Kama Africa kuna nafuu kwa nini kila siku Waafrika wanapambana kuzamia huko?
Kwa nini balozi za Marekani zinaelemewa misururu ya maombi ya visa kutoka kwa Waafrika??
Lakini maisha ni zaidi ya ardhi na shamba, vijijini kila mtu ana ardhi mbona bado wapo kwenye umaskini uliotopea?

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Mbona huku kwa Biden nilinunua shamba bila shida kwa nini mnajidanganya Wabongo na mnaandika vitu ambavyo havieleweki?? Ni afadhali kuwa maskini Marekani au Ulaya kuliko kuwa maskini Africa au Asia na kutumia N word ni kujitukana wewe mwenyewe Mwafrika eleweni kwamba African American waliuzwa na babu zenu kama wanavyouza nchi zao sasa wakati ule raslimali ilikuwa watu sasa ni natural resources beware about what you are talking about and inform yourself
 
Back
Top Bottom