Albaab
JF-Expert Member
- Jun 6, 2015
- 1,606
- 2,281
Hili swala la kuvutana mashati kwa sisi wabongo linatumaliza sana, yani ukipata kidogo roho zinatokota uko kama maarage jikoniWamerekani weus hiyo mentality yao haijaachana kabisa na wenyeji wa Africa Kusini( Dzonga), ulevi, starehe na chuki kwa wageni inawafanya wajikute si wachapa kazi....BIG UP kwa wasomali hawa jamaa kwenye Taifa lolote utakalowakuta lazima wawe wametake over ishu ya Biashara na wakifuatiwa na wapopo. Wabongo weng kwenye mataifa ya wengne hawana umoja wa hivoo disorganised.