Umasikini wa kutisha hapa Marekani

Umasikini wa kutisha hapa Marekani

Unafki uliouandika ni Kama vile mfano wa mtu alietoka familia ya kimaskin nguo imechanika anatembea pekupeku alaf anajidai unaenda kumuonea huruma mtoto wa kishua kisa eti hajavaa mewani ya jua.
Jionee huruma kwanza wewe.
Mkuu mwaka mpya huu,mbona makasiriko?
 
Kama Africa kuna nafuu kwa nini kila siku Waafrika wanapambana kuzamia huko?
Kwa nini balozi za Marekani zinaelemewa misururu ya maombi ya visa kutoka kwa Waafrika??
Wewe ni miongoni mwa hao watu wanaopambana kuzamia huko?
 
Unafki uliouandika ni Kama vile mfano wa mtu alietoka familia ya kimaskin nguo imechanika anatembea pekupeku alaf anajidai unaenda kumuonea huruma mtoto wa kishua kisa eti hajavaa mewani ya jua.
Jionee huruma kwanza wewe.

We jamaa una tatizo sio bure! Sasa hapo unaona umeandika nini! [emoji1787] Watu kama nyie ndio mnasababisha jua liwe kali bongo Yaani uko huko buza kwa mpalange na Tecno yako toleo la mwaka 2002 huku uso ukiwa mzito kama uji wa mtama unakuja kujibizanana na mtu anaye katiza mitaa ya Silicon Valley kweli?
 
kuna watu ukiwaambia nchi za watu zipo vipi unaambiwa tuna roho mbaya. nyie wa kujiripua mtaishia kulala barabarani huko sio poa .
Mara mia moja America kuliko Africa
Wengi wa jobless ni drugs addicted ila kazi zipo na kama ni mtu wa kazi hukosi kazi.

Hapa Africa unaweza tafuta kitu cha kufanya na ukakosa hakuna kazi africa hata kama wewe ni mpenda kazi na mzunguko wa hela ni mdogo mno plus huduma mbovu kwenye nyanja zote.

Watu sio wajinga kukubali kufia kwenye maji ili tu wafike ulaya na America mbona wazungu hawagombaniani kuja huku kwetu.
 
Wamerekani weus hiyo mentality yao haijaachana kabisa na wenyeji wa Africa Kusini( Dzonga), ulevi, starehe na chuki kwa wageni inawafanya wajikute si wachapa kazi....BIG UP kwa wasomali hawa jamaa kwenye Taifa lolote utakalowakuta lazima wawe wametake over ishu ya Biashara na wakifuatiwa na wapopo. Wabongo weng kwenye mataifa ya wengne hawana umoja wa hivoo disorganised.

Angalau wewe umekuwa muelewa! Kuna watu humu ni viazi sana! Yaani unajaribu kueleza kinacho endelea upande wa pili wa dunia ila bado mtu anakuja na nyodo!
 
Niggas dont want to work. They are full of anger and hatred. Most of them come from single mother households. They blame the white man instead of taking a look at themselves. If foreigners from africa can make it why not them?
 
Angalau wewe umekuwa muelewa! Kuna watu humu ni viazi sana! Yaani unajaribu kueleza kinacho endelea upande wa pili wa dunia ila bado mtu anakuja na nyodo!
Mbumbumbu ndivyo walivyo, wao wanadhani kaja kushindanisha kumbe kaja kufafanua mitaa na maisha ya baadhi waamerika.kuna watu ukiwambia wazungu ni malaika wanaangusha uno hilo.
 
We jamaa una tatizo sio bure! Sasa hapo unaona umeandika nini! [emoji1787] Watu kama nyie ndio mnasababisha jua liwe kali bongo Yaani uko huko buza kwa mpalange na Tecno yako toleo la mwaka 2002 huku uso ukiwa mzito kama uji wa mtama unakuja kujibizanana na mtu anaye katiza mitaa ya Silicon Valley kweli?
Jamani, mwee mbavu zangu.
 
Unajua madhila waliyopitia na wanayoendelea kupitia Wamarekani weusi wengi huko America ??
Unafahamu Wamarekani weusi ni kizazi cha watumwa ambacho bado kinapambana na legacy ya utumwa na ubaguzi systematic mpaka leo??
Wamerekani weus hiyo mentality yao haijaachana kabisa na wenyeji wa Africa Kusini( Dzonga), ulevi, starehe na chuki kwa wageni inawafanya wajikute si wachapa kazi....BIG UP kwa wasomali hawa jamaa kwenye Taifa lolote utakalowakuta lazima wawe wametake over ishu ya Biashara na wakifuatiwa na wapopo. Wabongo weng kwenye mataifa ya wengne hawana umoja wa hivoo disorganised.
 
We jamaa una tatizo sio bure! Sasa hapo unaona umeandika nini! [emoji1787] Watu kama nyie ndio mnasababisha jua liwe kali bongo Yaani uko huko buza kwa mpalange na Tecno yako toleo la mwaka 2002 huku uso ukiwa mzito kama uji wa mtama unakuja kujibizanana na mtu anaye katiza mitaa ya Silicon Valley kweli?
Kwa ulicho kiandika tukikuwekea beat unakuwa hadija kopa malkia wa mipasho
 
Wakuu,

Heri ya mwaka mpya!

Ni muda sijaingia hapa Jamvini, hasa baada ya kuwa busy na mambo ya kimaisha. Leo nataka kuzungumzia umaskini wa kutupa kwenye Taifa hili kubwa kuliko Yote duniani kiuchumi yaani USA.

Nimepita mitaa ya Skid Row hapa downtown Los angeles, silicon valey kule Bay area, Hollywood, Hali ya ufukara inatisha, mitaa ya majiji kama Detroit na Atlanta pia kuna hali mbaya sana ya umaskini na idadi kubwa sana ya homeless ambao hata huko africa kuna nafuu.

Kwa mtazamo wangu ni kuwa kwanza Taifa halipaswi kuwa asilimia mia moja ni capitalism! Hii imetengeneza gap kubwa sana la wenye nacho na wasio nacho hapa marekani.

Umaskini mkubwa uko kwa wamarekani wenye asili ya Africa na wengi nilio kutana nao hawataki kazi na wana chuki kubwa sana kwa wazungu, na wageni! Japo pia wapo wazuri wasio na shida na mtu.

Biashara ya madawa ya kulevya kwa kiwango kikubwa inafanywa na Africa american wakishindana na latinos na wengi wamejaa kwenye magereza kuliko watu wengine wowote wale!

wahamiaji kutoka Africa, wamefanikiwa sana, japo pia kuna ambao wamepigika hapa kiuchumi. Lakini majority kwakweli wanapambana haswa.

Ni mwafrika mmoja tu nilikutana naye ambaye ni homeless na ni kwa vile ni drug addict ila wengi wana jiweza wakiongozwa na wanaigeria, wakenya baadhi huku wasomalia wakiwa juu kiuchumi yaani wana hadi Mall zao kubwa tu.

Kwa kiwango kikubwa waafrica walioko hapa ni wapambanaji mno na wengi wana take over uchumi wa hii nchi. Kwa upande wa African American kwakweli hali katika kila homeless utakao kutana nao mjini wanne kati ya watano ni Africa American!
what is your conclusion? Hamiaji wote wamechukua nafasi iliyoachwa na watumwa. Hasira za African Americans kwa wazungu hazikuja tu hivihivi kipuuzi, wanayo haki ya kuwa hivyo. Waliteswa, kudhulumiwa na kutwezwa utu wao. Harakati za kudai haki zao ziliwaletea mateso na maumivu makubwa sana, walipoteza maisha kama njugu. Hako kanafuu mnakokaona kwenu sasa ni matunda ya harakati zao. Hapo Detroit ndipo industrial revolution ilipo take place, kulikuwa na viwanda vingi sana mpaka vya kutengeza ndege, hapo ndipoyalipo makao makuu ya GM, kazi zilikuwa nyingi sana, maendeleo yalikuwa makubwa sana, na harakati za kudai ukombozi wa watumwa zilianzia hapo kwakuwa uchavuzi wa mazingira ulikuwa mkubwa sana, watu walikufa sana kama njugu na hakukua na malipo ya bima ya ugonjwa wala ajali wala kifo. Vurugu kubwa, mapigano na madai ya maslahi bora yalisababisha wazungu wafunge viwanda na kuvihamishia Asia ambako haki za binadamu haziko well pronounced, viwanda vingi vikapelekwa Taiwan, Singapore, Indonesia, South Korea na Banana Republican na kuiacha Detroit ikiwa na wahamiaji wengi wasiokuwa na kazi za kufanya, mji ukawa bankrupt. Unashangaa nini umaskini wa marekani?
 
Ndiyo maana nilishtuka mapema kwenda US. Kwa profession yangu kwenda huko ni dakika 0, mimi nikienda nina uhakika wa maisha, ila nikianza kufikiria kizazi changu kinachofuata kwa life la huko roho inagoma kabisa kuwapeleka huko.

Wanaweza wakaja kujiingiza kwenye lifestyle ya hao niggers mambo yakawa ndivyo sivyo.
 
Unajua madhila waliyopitia na wanayoendelea kupitia Wamarekani weusi wengi huko America ??
Unafahamu Wamarekani weusi ni kizazi cha watumwa ambacho bado kinapambana na legacy ya utumwa na ubaguzi systematic mpaka leo??
Hilo swala liko wazi na linafahamika, sasa ukombozi ndo unaletwa kwa kuchukia wengne?? Yaan mzulu kuteswa na mkaburu kimbilio liwe xenophobia?! Does it make sense!?
 
Kama Africa kuna nafuu kwa nini kila siku Waafrika wanapambana kuzamia huko?
Kwa nini balozi za Marekani zinaelemewa misururu ya maombi ya visa kutoka kwa Waafrika??
Kwa sababu hawajui uhalisia wa huko.

Jamaa alichokielezea hapa ni ukweli 100%.

Kule ukiwa mpambanaji unatoboa bila shida, ukiwa mkono mzito jua utaishia kuwa homeles tuu utake usitakee.
 
Back
Top Bottom