Hii ni mada uliyoichukulia kirahisi bila kushirikisha kichwa.Ratio ya maskini na matajiri ni ngapi?
Maskini mara nyingi huwa wanaoana na maskini wenzao. Sasa wewe so called "tajiri" unaogopa kuwa na maskini au kuoa maskini basi utajiri wako sio utajiri bali ni uwezo tu wa kula milo 3 kwa siku.
Tajiri hawezi kuwa na wasiwasi na kuwasaidia upande wa wakwe zake na ukiona una ubahili huo basi wewe sio tajiri ni mbadilisha mboga tu.
Akili za kufikirika hizo hakuna uhusianao wowote kama umasikini unaambukoza basi na utajiri unaambukiza pia..Wakuu,,
Umasikini ni sawa na Ukimwi, fungus, kaswende au Ebola au ugonjwa wa kuambukizwa.
Umasikini unaambukizwa kuweni makini. Kama wewe ni masikini kamwe usifungamane na masikini wala kuoa masikini maana mtaambukizana upele tena kama ni mwanaume utakuwa masikini mara mbili kama tujuavyo wakwe wa mke watakuwa wanakuangalia na wazazi wako na ndugu zako pia.
Tuwe makini, tujikinge na mahusiano tunayoanzisha au tunaooa au kukutana na kushinda nao.
Ni hayo tu kwa leo
Matajiri ni wabahili kuliko sisi maskini. Na wapo makini kwenye swala la kuoa kweli kweli
Nenda katazame watoto wa Bakhressa wake zao walipooa uchumi wa kwao ukoje
Unawajua watoto wa Bakhressa wameoa wapi?Au unajisemea tu? Hao matajiri walioa watoto wao ni kina nani?Matajiri ni wabahili kuliko sisi maskini. Na wapo makini kwenye swala la kuoa kweli kweli
Nenda katazame watoto wa Bakhressa wake zao walipooa uchumi wa kwao ukoje
Kwa mantiki yako hiyo hiyo kuna watoto wa matajiri wasiomaliza shule kwa sababu baba zao ni matajiri.Kwa namna fulani ndio. Mfano maskini anaweza asimalize shule kwasababu wazazi wake ni maskini....
Familia yenye unafuu unakuwa una nini?Fafanua umaskini ni nini?Kwa sababu umeanza kwa kusema walala hoi wenzetu?Walala hoi wenzetu watakuja kukushambulia lakini hiki ulichokiandika ni ukweli mtupu.
kama umezaliwa familia yenye unafuu wa maisha basi mshukuru Mungu na usiombe ukakumbana na umasikini, na kama umezaliwa na kuishi maisha ya kimasikini basi pambana sana kizazi chako kisiishi maisha ya umasikini, pambana ukate chain ya umasikini kutoka kizazi kimoja kwenda kingine.
Umasikini unadharirisha, umasikini unatesa, umasikini ni laana kama laana nyingine, umasikini si kitu cha kukifurahia na kuridhika nacho, umasikini ni kitu kibaya sana ndugu zangu.
katika siku za maisha yako pambana sana na pigana vita kupinga umasikini.
NB: kuzaliwa masikini si kosa ila kufa masikini ni kosa kubwa sana.
#getrichordietryin.
Mtoto wa tajiri hatoacha shule kwa sababu za kifedha mkuu,Kwa mantiki yako hiyo hiyo kuna watoto wa matajiri wasiomaliza shule kwa sababu baba zao ni matajiri.
Ingawa hujaweka kumalizia shule unakuwa umesomaa mpaka level gani.
kwahiyo mwanamume masikini aoe mwanamke tajiri?Wakuu,,
Umasikini ni sawa na Ukimwi, fungus, kaswende au Ebola au ugonjwa wa kuambukizwa.
Umasikini unaambukizwa kuweni makini. Kama wewe ni masikini kamwe usifungamane na masikini wala kuoa masikini maana mtaambukizana upele tena kama ni mwanaume utakuwa masikini mara mbili kama tujuavyo wakwe wa mke watakuwa wanakuangalia na wazazi wako na ndugu zako pia.
Tuwe makini, tujikinge na mahusiano tunayoanzisha au tunaooa au kukutana na kushinda nao.
Ni hayo tu kwa leo
The end justifies the means.Huyo maskini asipoacha shule na kuendelea na shule sababu inakuwa nini?Mtoto wa tajiri hatoacha shule kwa sababu za kifedha mkuu,
Na hatoteseka mtaani kama wa maskini
Umaskini ni suala mtambuka mkuu
Unafuu, kuweza kujikimu kwa mahitaji ya msingi na yasiyo ya msingi.Familia yenye unafuu unakuwa una nini?Fafanua umaskini ni nini?Kwa sababu umeanza kwa kusema walala hoi wenzetu?
Wewe umepambana sasa hivi wewe tajiri?
umaskini ni kushindwa kukidhi mahitaji ya msingiThe end justifies the means.Huyo maskini asipoacha shule na kuendelea na shule sababu inakuwa nini?
Asilimia ngapi ya watoto maskini wanaacha shule kw sababu tu ya umaskini.
Hivi kwa Nchi hii wanaosoma wote wazazi wao ni matajiri?
Mtakuwa hamuizungumzii Tanzania.Majority ya watu hii ni masikini.