Well said.
Tangu ujiunge na JF hii ndiyo the best thread yenye ujumbe mzuri sana kwa vijana wetu.
No sipo kwenye kundi hiloIncluďing u!hii inatuhusu wote sio vijana wala wazee
No sipo kwenye kundi hilo
Pambana sana.hongera!bas hakikisha vizaz vyako visiwepo kundi hili..mie nipo sana
Maskini kila tajiri in Freemason na atafikia motoni. Maskin ndio anajiona ufalme was Mungu ni wake, kiukweli motoni kutajaa maskini kwa ajili ya kulalamika ovyo na Unafiki.
==
Tafuta hela dogo...
Aliniambia JF member mmoja.
Kuna kabila nyingine msiba ukitokea mabinti wote wanakwenda na waume zao kwenye msiba kijijini.
Aliyeolewa na tajiri atashusha gunia la mchele na debe la mafuta ya kupikia. Atavutiwa kiti akae.
Aliyeolewa na masikini atawapa mikono ya pole wazee, anatolewa jamvi . Hajakaa vizuri anaitwa akawapasulie kuni wakina mama jikoni.
KabisaUmasikini ni kama mtoto anayesoma shule. Lakini 'Ujinga' ndiyo mzazi anayelipa ada.
True!Umasikini ni kama mtoto anayesoma shule. Lakini 'Ujinga' ndiyo mzazi anayelipa ada.
Uzi umejaa ukweli mtupu!
Ova