Komeo Lachuma JF-Expert Member Oct 31, 2014 5,361 11,518 Oct 20, 2022 #161 Mtukutu wa Nyaigela said: Mithali 19:7 Maskini huchukiwa na ndugu zake; marafiki zake ndio zaidi: Humkimbia! Hata awabembeleze namna gani hatawapata. Tutafute hela Click to expand... Hatari sana.....
Mtukutu wa Nyaigela said: Mithali 19:7 Maskini huchukiwa na ndugu zake; marafiki zake ndio zaidi: Humkimbia! Hata awabembeleze namna gani hatawapata. Tutafute hela Click to expand... Hatari sana.....
Komeo Lachuma JF-Expert Member Oct 31, 2014 5,361 11,518 Oct 20, 2022 #162 Mtukutu wa Nyaigela said: Tungeomba hii kitu iwekwe kwenye Sylabus mashuleni Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣
Mtukutu wa Nyaigela said: Tungeomba hii kitu iwekwe kwenye Sylabus mashuleni Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🤣
Joseph lebai JF-Expert Member Jul 19, 2017 8,452 8,607 Oct 20, 2022 #163 Ndio sababu watu wamegundua mambo ya "misukule".
Dukani JF-Expert Member Jul 24, 2018 1,123 1,636 Oct 20, 2022 #164 Sifa kubwa ya maksini ni uchawi na wanga,tajiri hana sifa hizo
Dukani JF-Expert Member Jul 24, 2018 1,123 1,636 Oct 20, 2022 #165 Umaskini ni laana, maskini wengi ndo watenda dhambi
Lucky93 JF-Expert Member Jun 27, 2022 759 1,539 Oct 21, 2022 #167 Hivi huyu mwamba gudume alienda wapi?
GuDume JF-Expert Member Jan 18, 2015 6,652 14,247 Oct 26, 2022 Thread starter #168 Lucky93 said: Hivi huyu mwamba gudume alienda wapi? Click to expand... Nipo ndugu yangu. Napitia nyuzi za vijana na kujifunza kwao.
Lucky93 said: Hivi huyu mwamba gudume alienda wapi? Click to expand... Nipo ndugu yangu. Napitia nyuzi za vijana na kujifunza kwao.