Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 563
- 1,565
Watu wengine umasikini ni kama laana ataufanyeje huwezi kumtoa kwenye umasikini,.......Kama upo kwenye nafasi ya kumvuta Mtanzania mmoja au zaidi, awe ndugu, jamaa, rafiki au mtu baki kumtoa kwenye umaskini.
Please do it, huo ndio mchango wako wa Taifa lako.
Umaskini mbaya, unaogopesha, unatisha.
Njia nzuri zaidi ya kukuhakikishia mafanikiolo, ni kwa kufanya kwa kadri ya uwezo wako kuwanyanyua wanaokuzunguka!
Niko tofauti na mawazo yako hakuna mtu kazaliwa kuja kuwa masikini hapa dunianiWatu wengine umasikini ni kama laana ataufanyeje huwezi kumtoa kwenye umasikini,.......
Mtu hupata laana baada ya kuzaliwa wengine wamebeba laana za ukoo wao, kwahiyo uwe mwangalifu na watu huwezi kupambana na mtu mwenye laana.Niko tofauti na mawazo yako hakuna mtu kazaliwa kuja kuwa masikini hapa duniani
Kuna jama alitafuta kazi kwa siku nyingi ni kamfanyia mpango akapata kibarua cha ulinzi shule ya wasichana mshahara wake ukawa 350k kwa mwezi, akapiga kazi kwa wiki tatu, wiki ya nne mkurugezi akamuagiza aende akanunue kopo la ragi moja kupaka getini akampa 28,000. Jama akakimbia mazima na pesa sh 28000, wakati mshahara wake ulikua umebakiza siku saba tu alipwe, kama sio laana ni nini hiyo?Kama upo kwenye nafasi ya kumvuta Mtanzania mmoja au zaidi, awe ndugu, jamaa, rafiki au mtu baki kumtoa kwenye umaskini.
Please do it, huo ndio mchango wako wa Taifa lako.
Umaskini mbaya, unaogopesha, unatisha.
Njia nzuri zaidi ya kukuhakikishia mafanikiolo, ni kwa kufanya kwa kadri ya uwezo wako kuwanyanyua wanaokuzunguka!
Story yako inatufundisha nini???Kuna jama alitafuta kazi kwa siku nyingi ni kamfanyia mpango akapata kibarua cha ulizi shuleni ya wasichana mshahara wake ukawa 350k kwa mwezi, akapiga kazi kwa wiki tatu, wiki ya nne mkrungezi akamuaguze aende akanunue kopo la ragi akampa 28,000. Jama akakimbia mazima na pesa sh 28000, wakati mshahara wake ulikua umebakiza siku saba tu alipwe, kama sio laana ni nini hiyo?
Mkuu sio story hili nalishuhudia mwenyewe na nahusika kabisa, achana kitu laana ni hatari sana kwa binaadamu.Story yako inatufundisha nini???
Laana inatafuna watu kama nini mchungeni ukoo mnako oa kuna koo kwao kumiliki gari ni marufuku, na utajiri bila gari ni sawa sawa na umasikini.....Kama upo kwenye nafasi ya kumvuta Mtanzania mmoja au zaidi, awe ndugu, jamaa, rafiki au mtu baki kumtoa kwenye umaskini.
Please do it, huo ndio mchango wako wa Taifa lako.
Umaskini mbaya, unaogopesha, unatisha.
Njia nzuri zaidi ya kukuhakikishia mafanikiolo, ni kwa kufanya kwa kadri ya uwezo wako kuwanyanyua wanaokuzunguka!
Sio kwa mbwa wabkitanzania ni hatariiKama upo kwenye nafasi ya kumvuta Mtanzania mmoja au zaidi, awe ndugu, jamaa, rafiki au mtu baki kumtoa kwenye umaskini.
Please do it, huo ndio mchango wako wa Taifa lako.
Umaskini mbaya, unaogopesha, unatisha.
Njia nzuri zaidi ya kukuhakikishia mafanikiolo, ni kwa kufanya kwa kadri ya uwezo wako kuwanyanyua wanaokuzunguka!
Si kweli! Kataa kauli hizi za KIPUMBAVU! KIZEMBE! KIVIVU! NA ZA KUKATISHA TAMAA!Watu wengine umasikini ni kama laana ataufanyeje huwezi kumtoa kwenye umasikini,.......
Its not true some are born rulers while others are born servants......Si kweli! Kataa kauli hizi za KIPUMBAVU! KIZEMBE! KIVIVU! NA ZA KUKATISHA TAMAA!
"success & failure they're both in your hands... you're the one who'll choose!" ~Laizer JR