Umalaya wa Mwalimu wamgeuza ombaomba Dar

Si vibaya ukaifuta sasa...

Huyo mama ana matatizo ya akili, ukimsikiliza maelezo yake ndipo utagundua kwamba anayo matatizo ya akili, hili si gazeti la kwanza kumhoji, kuna kipindi gazeti la Mwananchi waliandika makala yake.....

Pia kuna kipindi JOYCE KIRIA alimualika katika kipindi chake cha WANAWAKE LIVE na kufanya naye mahojiano, hapo ndipo niligundua kwamba Saada ana matatizo makubwa tu ya akili.....

Baada ya mahojiano yale na Joyce watu wengi walijitokeza kumsaidia Saada ikiwa ni pamoja na kutafuta sehemu nzuri(nyumba) ya kumsitiri yeye na familia yake lakini katika hali ya kushangaza huyu mma alikataa na kuamua kuendelea kuishi palepale anapokaa sasa.....Alichokuwa anataka yeye ni pesa tu....

Saada karibu kila mwaka yeye anazaa, na nina wasiwasi wanaume huwa wanatumia ugonjwa wake kufanya naye mapenzi kwa nguvu na baadae kumpa mimba(huu ni mtazamo wangu tu)......

Saada si malaya kama unavyodhani mkuu....

asante mkuu kwa maelezo mazuri.................... ngoja nisubiri uthibitisho zaidi..................... pole sana kwa msiba wa GS!................ mimi sijapoa kabisda kaka................
 
Malaya hawazalishwi hovyo hovyo kama huyu mama. Huyu mama ana matatizo ya akili na mbaya zaidi kama jamii(mimi na wewe) tukiwemo hatujaamua kumsaidia kutoka hapo alipo...tumebaki kutegemea utashi wake tu....wengi wanasema alipewa hiki au kile akakataa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom