Umalaya Shinyanga ni hatari

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,871
Ni siku ya 4 leo nipo mjini Shinyanga kikazi, badi leo mwenyeji wangu akaniambia atanipitisha maeneo ya madada poa wa Shinyanga ili kujionea vijana wanavyo angamia na ngono zembe ndipo tukatembelea eneo linaitwa RELINI.

Hapo bana vijana wale wanaoendesha baiskeli au almaarufu kama Boda kwa hapa Shinyanga ndipo wanapojiponea kwa nunua malaya kwa bei ya Sh 500 hadi 2,500 hali ni mbaya mnooo na wanakwenda kukamuana katika mapori.
 
Ni siku ya 4 leo nipo mjini Shinyanga kikazi, badi leo mwebyeji wangu akaniambia atanipitisha maeneo ya madada poa wa Shinyanga ili kujionea vijana wanavyo angamia na ngono zembe ndipo tukatembelea eneo.linaitwa RELINI hapo bana vijana wale wanao endesha baiskeli au almaarufu kama Boda kwa hapa shinyanga ndipo wanapo jiponea kwa nunua malaya kwa bei ya Sh.!500 hadi 2500 hali ni mbayaa mnooo na wanakwenda kukamuana ktk mapori

Mijini umekuja juzi ww, fanya kilichokupeleka Shinyanga, kwanini unafanya yasio kuhusu?
 
Ni siku ya 4 leo nipo mjini Shinyanga kikazi, badi leo mwebyeji wangu akaniambia atanipitisha maeneo ya madada poa wa Shinyanga ili kujionea vijana wanavyo angamia na ngono zembe ndipo tukatembelea eneo.linaitwa RELINI hapo bana vijana wale wanao endesha baiskeli au almaarufu kama Boda kwa hapa shinyanga ndipo wanapo jiponea kwa nunua malaya kwa bei ya Sh.!500 hadi 2500 hali ni mbayaa mnooo na wanakwenda kukamuana ktk mapori
Nipe location nami niko hapa town
 
Ni siku ya 4 leo nipo mjini Shinyanga kikazi, badi leo mwenyeji wangu akaniambia atanipitisha maeneo ya madada poa wa Shinyanga ili kujionea vijana wanavyo angamia na ngono zembe ndipo tukatembelea eneo linaitwa RELINI.

Hapo bana vijana wale wanaoendesha baiskeli au almaarufu kama Boda kwa hapa Shinyanga ndipo wanapojiponea kwa nunua malaya kwa bei ya Sh 500 hadi 2,500 hali ni mbaya mnooo na wanakwenda kukamuana katika mapori.
Usiondoke bila kutembele kule migodini(machimboni)ukajioneee zaidi
 
Mpanda kuna eneo linaitwa uwanja wa fisi. Pia uwanja wa shule ya msingi Msakila ndio "open guest house" kuanzia saa nne usiku. Wahuni wanaimanishana hadharani.

Tabora mitaa ya Kanyenye, uhazili weka mbali na watoto. Unapopita barabarani unafuatwa kuuziwa hata kama una hamsini zako. Nilionyeshwa mke wa askari polisi ambaye mume wake yuko kozi, nilisikitika sana.

Kifupi hali ni mbaya sana kwenye majiji mengi, dunia iko karibu kupigwa kiberiti.
 
Ni siku ya 4 leo nipo mjini Shinyanga kikazi, badi leo mwenyeji wangu akaniambia atanipitisha maeneo ya madada poa wa Shinyanga ili kujionea vijana wanavyo angamia na ngono zembe ndipo tukatembelea eneo linaitwa RELINI.

Hapo bana vijana wale wanaoendesha baiskeli au almaarufu kama Boda kwa hapa Shinyanga ndipo wanapojiponea kwa nunua malaya kwa bei ya Sh 500 hadi 2,500 hali ni mbaya mnooo na wanakwenda kukamuana katika mapori.
Hakukuonesha mapadre na masheikh wakiswalisha kaamua kukuonesha hobby yako tuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom