Umahiri wa Masoud Kipanya

Umahiri wa Masoud Kipanya

Mheikungu

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2018
Posts
215
Reaction score
452
Huyu kijana ni hatari sana. Nadhani ujumbe umefika kwa mzee wa kujimwambafy

IMG_20191009_111353.jpg
 
Pale mkulima anapokula mpaka mbegu.... iko siku atakufa kwa njaa...

Japo kuna plan B ya kukopa mbegu kwa jirani na kuanza kupanda upya...
 
Huwa nampa sana heko Kipanya. Heshima kwake mana huwa anajua sana kutufikirisha.
 
Back
Top Bottom