Msidhani mpigwa picha hajui maana ya hizo hand signs, kama unajua diffeent types za hand shake utagundua kuwa huwa anajaribu kuzipractice kwa watu mbalimbali; mf, hupendelea kutoa "cold fish" kwa viongozi wa opposition in Tz, hutoa "double handler au upperhand grip" kwa akina obama. Kama umewahi kusoma kitabu cha "body languages utaweza kuona namna anavyojaribu kuzicheza.
You have to put things into context. JK is not the first and definitely will not be the last to be seen to strike such a pose.
Rick Perry - Republican Presidential candidate
Vicente Fox - Former President of Mexico
George Bush - Junior
Gorge Bush and Colin Powell
Barrack Obama
Julia Gillard - Australia Prime Minister
Barrack Obama
Mtu mwenye akili zake atajua tofauti kati ya hizi picha.
Kwa hiyo hapa alikuwa na maana gani?
Mimi sijaelewa kitu....kuna mtu anaweza kutueleza vizuri "issue" iliyopo kwenye hizo picha mbili? Hiyo ya jk ni kama vile wanaoneshana kitu fulani kilicho mbali.
Maana ya ishara hii ni "exercise of power" hasa ukifananisha ni hiyo a hitler, hawa wengine kama Bush, colin na Penn mikono yao ina ishara tofauti. Ki msingi JK hakupaswa kuonesha ishara hiyo kwenye maafa, hiyo huoneshwa kwenye hadhara za kisisasa kama kampeni au kwenye hotuba ya kukemea jambo.
hii picha ili wekwa makusudi kabisa kwa madhumuni hayo hayo unayo fikiria. Mia