Umahiri (isomeke Ujinga) wa wapiga picha wetu

You have to put things into context. JK is not the first and definitely will not be the last to be seen to strike such a pose.

rick_perry_sieg_heil.jpg

Rick Perry - Republican Presidential candidate

bellamy-edward-emiliano-zapata-mexico-fox.jpg

Vicente Fox - Former President of Mexico

150605bushnazi.jpg

George Bush - Junior

images

Gorge Bush and Colin Powell
images

Barrack Obama
images

Julia Gillard - Australia Prime Minister

images

Barrack Obama
 
Msidhani mpigwa picha hajui maana ya hizo hand signs, kama unajua diffeent types za hand shake utagundua kuwa huwa anajaribu kuzipractice kwa watu mbalimbali; mf, hupendelea kutoa "cold fish" kwa viongozi wa opposition in Tz, hutoa "double handler au upperhand grip" kwa akina obama. Kama umewahi kusoma kitabu cha "body languages utaweza kuona namna anavyojaribu kuzicheza.

Kwa hiyo hapa alikuwa na maana gani?
 
You have to put things into context. JK is not the first and definitely will not be the last to be seen to strike such a pose.

rick_perry_sieg_heil.jpg

Rick Perry - Republican Presidential candidate

bellamy-edward-emiliano-zapata-mexico-fox.jpg

Vicente Fox - Former President of Mexico

150605bushnazi.jpg

George Bush - Junior

images

Gorge Bush and Colin Powell
images

Barrack Obama
images

Julia Gillard - Australia Prime Minister

images

Barrack Obama

ishara ya salamu ya wajenzi huru?!!!
 
Mtu mwenye akili zake atajua tofauti kati ya hizi picha.

Mwenye akili zaidi pia anaweza kuitafsiri kivyake, na mwenye akili fupi pia anaweza kutafsiri kivyake. Point kubwa hapa ni kuwa mpigapicha alitakiwa kutumia akili zaidi kuhakikisha watu hawapati mwanya wa kuleta tafsiri zao mbaliimbali. Picha kama hii haikutakiwa hata kuwepo kwenye gazeti wala internet.
 
Maana ya ishara hii ni "exercise of power" hasa ukifananisha ni hiyo a hitler, hawa wengine kama Bush, colin na Penn mikono yao ina ishara tofauti. Ki msingi JK hakupaswa kuonesha ishara hiyo kwenye maafa, hiyo huoneshwa kwenye hadhara za kisisasa kama kampeni au kwenye hotuba ya kukemea jambo.
Kwa hiyo hapa alikuwa na maana gani?
 
hii picha ili wekwa makusudi kabisa kwa madhumuni hayo hayo unayo fikiria. Mia
 
Mimi sijaelewa kitu....kuna mtu anaweza kutueleza vizuri "issue" iliyopo kwenye hizo picha mbili? Hiyo ya jk ni kama vile wanaoneshana kitu fulani kilicho mbali.

Mtoa picha hizo nadhani anataka kutuaminisha kuwa mkuu hapo anapiga salute kama afanyavyo huyo wa picha ya pili mwenye salute ya kinazi. Hapo anamuonea kamanda wetu bure, maana salute haipigwi na mkono kiunoni.
 
Kumbe ni kama Hitler....tunajifunza ili siku nyingine tukiwa wakubwa tuepuke kuonyesha vidole au mikono kama.....
 
Maana ya ishara hii ni "exercise of power" hasa ukifananisha ni hiyo a hitler, hawa wengine kama Bush, colin na Penn mikono yao ina ishara tofauti. Ki msingi JK hakupaswa kuonesha ishara hiyo kwenye maafa, hiyo huoneshwa kwenye hadhara za kisisasa kama kampeni au kwenye hotuba ya kukemea jambo.

Kwahiyo Jk aliiga vitu asivyojua maana yake ama kwavile alimwona bush kafanya hivyo tu ikawa taabu
 
anaoneshea kitu na wala si salute wala kuiga ni tofauti kwa maana ukilinganisha na hizo nyengine. Freemasons
 
Back
Top Bottom