Umafia: Polisi walio mteka Mdude nao watapotezwa

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,268
Reaction score
13,895
Kama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na kutubu kabla nao hawajauliwa.

Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa .

Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao polisi waliotumwa bila hata kujali. Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa.

Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
 
Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa. Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
Na wanaelekezwa kabisa sehemu ya kwenda kujificha ila hawashituki
 
Kama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na na kutubu kabla nao hawajauliwa.
Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa . Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao polisi waliotumwa bila hata kujali. Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa. Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
 
Kama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na na kutubu kabla nao hawajauliwa.
Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa . Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao polisi waliotumwa bila hata kujali. Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa. Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
 
Kama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na na kutubu kabla nao hawajauliwa.
Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa . Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao polisi waliotumwa bila hata kujali. Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa. Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
Ndugu yangu
Acha wengine tusahau. Babu yangu alikuwa Chuo cha Makere anafundisha Nyerere akamdanganya akarudi Tanzania. Akampa kazi hapo Ikulu baada ya miezi saba yakatokea yale ya Kambona. Akapewa taarifa na dada secretary mipango ya kumuuwa inatengenezwa.

Aliondka kwenda kujificha kijijini alikuwa hapandi gari kwenda popote ila alikuwa anamlaani Nyerere sana. Amekufa mwaka 2021 akiwa na miaka 107. Asante babu alijitahidi kupambana na uhai wako wajukuu zake tukakujua.
 
Unaonaje ukadadavua kwa kina ili tutoke na kitu.
 
Kama mnawafahamu waambieni wajitokeze mapema na na kutubu kabla nao hawajauliwa.
Info tulizopata wale wote waliompiga risasi Lissu vijana wawili na boss wale wote hatunao tena. Boss wao alipata ajali ya kutengenezwa na wale waliuliwa . Hao maboss wa juu ndiyo mafia wenyewe wako tayari kuwauwa hao polisi waliotumwa bila hata kujali. Kuna majina na mpaka namba za simu sasa hamjiulizi kwanini mpaka leo hawajakamatwa. Na wenyewe wajinga jinga wanaambiwa kajificheni kumbe ndiyo wanaenda kuuliwa huko. Tatizo la Watanzania hatujipi muda wa kufikiria kiutalaamu
Fact.
 
Wafe haraka sn hakuna namna ya kuwasaidia
 
Back
Top Bottom