Umafia na tanzania - janja ya dola kuzika bad news

Naona wewe ushaingia kwenye dini ya kuabudu mafuvu, rais wetu hauwi na hana haja ya kuuwa our motto ni tunachukuwa na tunaweka wah! kwenye sanduku la kura hatuja haja ya kufuata didni ya kuabudu mafuvu kama wewe, lete data kama anahusika na nabety mpaka dunia itakwisha utashindwa

mMEBORESHA UJINGA
 
Mhh!
Sorry, I thought you were a great thinker.

But I'm afraid I was wrong.
Hivi kuwa great thinker lazima uwe anti gov??? Hii nayo inawezekana kabisa na ile timu ya uchunguzi iingalie pia hili kama inatenda haki.........Kamanda aliweka wazi kama kuna mtu ana taarifa/ushahidi awapelekee waufanyie kazi
 
duu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hivi kuwa great thinker lazima uwe anti gov??? Hii nayo inawezekana kabisa na ile timu ya uchunguzi iingalie pia hili kama inatenda haki.........Kamanda aliweka wazi kama kuna mtu ana taarifa/ushahidi awapelekee waufanyie kazi

Kuwa great thinker ni kuwa na uwezo wa kuchambua hoja, kutokuwa biased, kutoandika usichokijua nk.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom