Umachinga au Ujasiriamali ni hatua ya kutoka katika uchumi mdogo kwenda uchumi wa kati na baadae uchumi wa juu

Machinga wanajitambua kuwa wao ni nani hapo baadae?

Je, Wanauchukia umachinga kwa dhati ya mioyo yao?
Wanajitambua ingawa mazingira sio rafiki kwao kuweza kutoka katika huo mtego uliowatega.

Wanauchukia umachinga kwani unawadhalilisha, kukaa juani siku nzima halafu hauwezi kuuza chochote chenye kueleweka ni shughuli ngumu.

Au kuzunguka juani siku nzima halafu huwezi kuuza chochote ni mateso ya aina fulani.
 
UMACHINGA SIO KIPAJI, SIO SIFA, SIO CHEO, SIO KIPAWA | UMACHINGA NI HATUA YA KUFIKIA NDOTO YA KUWA MFANYABIASHARA MKUBWA NDANI|NJE YA TANZANIA
__________________________________________

Nguli wa Uchumi mfaransa Jean Baptiste mwanzilishi wa neno ujasiriamali|Umachinga alisema " Umachinga ni hatua ya kutoka katika uchumi mdogo kwenda uchumi wakati na baadae uchumi wa juu " Jean-Baptiste,

Hata hivyo, niserikali ya kichawi tu ndio inaweza kujisikia fahari mtu kujiita Machinga miaka nenda rudi uje na nimchawi pekee ndio anaweza kujisifia yeye ni mmachinga mzoefu,Umachinga sio sifa wala kipaji ni hatua|daraja la kupita kwenda hatua ya juu zaidi katika kumiliki na kuendesha biashara kubwa,Kila anayetamani machinga aendelee kuwa machinga huyo ni muuwaji wa ndoto za watu hao nani mtu hatari sana kwa Ustawi wa Taifa na Watu wake hasa hao machinga,Akitokea mtu anayetafuta nafuu kwenye Siasa akakwambia wewe Machinga endelea kuwa machinga nitakulinda huyo ni hatari kuliko mchawi na hafai kuwa kiongozi kama anashindwa kukuongoza kwenda kuwa mfanyabiashara mkubwa na anafurahia namna jua linavyoishia mwilini mwako siku kwa siku ili tu siku moja umpigie kura huyo hakufai wewe wala Mungu,

Tanzania inajumla ya Wamachinga 2,335,711 wenye vitambulisho huku wafanyabiashara wakifikia 3.8M,Hii ni sawa nakusema idadi ya wamachinga Tanzania ni 62% ya walipa kodi wote wa nchi hii,Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza wamachinga wapangwe vizuri maana yake watolewe Juani wapeleke kwenye maeneo ambayo watatambulika ( Permanent premises) ili kutimiza ndoto yao ya kuwa wafanyabiashara wakubwa,hapa lazima tumpongeze sana Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan ,Moja ya Sharti kubwa la kupata mkopo toka benki yoyote ya Biashara ni kuwa na eneo sahihi na kufanyia biashara ( business premise ).Nahapa natamani wamachinga mnielewe vizuri nimesema umachinga sio kipaji ni hatua ya ukuaji katika biashara hivyo ni lazima ifike siku Muhitimu huo Umachinga ila kamwe hamuwezi kuuhitimu Umachinga mkiwa Chini pembeni ya Barabara,

Wamachinga wa nchi hii wamefanyiwa sana siasa na imefika wakati wamejiona kama wao ndio wenye turufu ya Siasa na Wanasiasa wa Tanzania badala ya kuwaza zaidi kesho yao katika biashara zao,Leo Machinga akihamishwa kupelekwa mahali patakapoamua kesho yake iliyonjema anahisi kaonewa kwakuwa tu uchaguzi umekwisha,Tunataka viongozi kama Rais Samia wasiojali kesho yao kisiasa ila Kesho ya wamachinga na watoto wao na watoto wa watoto wao,Kama Rais Samia atafanikiwa kuwahitimisha Umachinga hao watu 2.34M maana yake by 2024|25 Tanzania itakuwa na walipakodi zaidi ya 6M na itakuwa rekodi nyingine kwake kwani tangu Uhuru walipakodi wamefikia 3.8M kwenye nchi ya watu 60M,kwa akili za kawaida Watu wanaweza wakadhani machinga wanaonewa kumbe wanasaidiwa kufikia ndoto zao kirahisi, Mwenye masikio naasikie haya,

.........Kazi iendelee .........

VIVA TANZANIA | VIVA SAMIA | VIVA CCM

View attachment 1937108

Msimamo wa CCM kuhusu Machinga ni upi hasa? Ilani inasemaje?

Naona hapa unaponda mtazamo na hatua zilizochukuliwa na awamu ya tano kuhusu Machinga. Tuseme CCM inakiri kosa ililofanya awamu ile na kuleta sahihisho awamu ya sita?

Wanasema kweli itakuweka huru. Mnapoipigia chapuo CCM na mwenyekiti wake basi muwe wawazi kweli.

Hii kujifanya nchi ilikuwa na hali mbaya sana kabla ya kiongozi wa sasa ni kutufanya mazuzu tuamini kuwa huko nyuma kulikuwa na utawala wa chama kingine (au hata mashetani) ilhali ni watu wale wale wamebadili msimamo tu kama vinyonga.
 
Wa machinga Wana akili Sana, endeleeni kuleta masihara na kula ya watu.

Hizo theories ni za kilaghai. Nikama kwenye suala la wahitim wengi kukosa ajira anainuka mtu mmoja anasema eti mjiajiri.

He?!!, unajiuliza Kama kujiajiri ni rahisi hivo, si nawao wajiajiri.

Kama mko na nia njema, watengeeni hizo nafasi 2.3ml sehemu zenyé hadhi Kama kariakoo, posts,...dsm. Makoroboi....Dampo...mwanza, unga ltd na viunga Kama hivo Arusha, moshi, mbeya kadhalika.
 
Daah ila mbongo
 
Wanajitambua ingawa mazingira sio rafiki kwao kuweza kutoka katika huo mtego uliowatega.

Wanauchukia umachinga kwani unawadhalilisha, kukaa juani siku nzima halafu hauwezi kuuza chochote chenye kueleweka ni shughuli ngumu.

Au kuzunguka juani siku nzima halafu huwezi kuuza chochote ni mateso ya aina fulani.
Click to expand...
Viva Samia Viva

Mimi ni chadema ila Samia dam
 
UMACHINGA SIO KIPAJI, SIO SIFA, SIO CHEO, SIO KIPAWA | UMACHINGA NI HATUA YA KUFIKIA NDOTO YA KUWA MFANYABIASHARA MKUBWA NDANI|NJE YA TANZANIA
__________________________________________

Nguli wa Uchumi mfaransa Jean Baptiste mwanzilishi wa neno ujasiriamali|Umachinga alisema " Umachinga ni hatua ya kutoka katika uchumi mdogo kwenda uchumi wakati na baadae uchumi wa juu " Jean-Baptiste,

Hata hivyo, niserikali ya kichawi tu ndio inaweza kujisikia fahari mtu kujiita Machinga miaka nenda rudi uje na nimchawi pekee ndio anaweza kujisifia yeye ni mmachinga mzoefu,Umachinga sio sifa wala kipaji ni hatua|daraja la kupita kwenda hatua ya juu zaidi katika kumiliki na kuendesha biashara kubwa,Kila anayetamani machinga aendelee kuwa machinga huyo ni muuwaji wa ndoto za watu hao nani mtu hatari sana kwa Ustawi wa Taifa na Watu wake hasa hao machinga,Akitokea mtu anayetafuta nafuu kwenye Siasa akakwambia wewe Machinga endelea kuwa machinga nitakulinda huyo ni hatari kuliko mchawi na hafai kuwa kiongozi kama anashindwa kukuongoza kwenda kuwa mfanyabiashara mkubwa na anafurahia namna jua linavyoishia mwilini mwako siku kwa siku ili tu siku moja umpigie kura huyo hakufai wewe wala Mungu,

Tanzania inajumla ya Wamachinga 2,335,711 wenye vitambulisho huku wafanyabiashara wakifikia 3.8M,Hii ni sawa nakusema idadi ya wamachinga Tanzania ni 62% ya walipa kodi wote wa nchi hii,Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza wamachinga wapangwe vizuri maana yake watolewe Juani wapeleke kwenye maeneo ambayo watatambulika ( Permanent premises) ili kutimiza ndoto yao ya kuwa wafanyabiashara wakubwa,hapa lazima tumpongeze sana Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan ,Moja ya Sharti kubwa la kupata mkopo toka benki yoyote ya Biashara ni kuwa na eneo sahihi na kufanyia biashara ( business premise ).Nahapa natamani wamachinga mnielewe vizuri nimesema umachinga sio kipaji ni hatua ya ukuaji katika biashara hivyo ni lazima ifike siku Muhitimu huo Umachinga ila kamwe hamuwezi kuuhitimu Umachinga mkiwa Chini pembeni ya Barabara,

Wamachinga wa nchi hii wamefanyiwa sana siasa na imefika wakati wamejiona kama wao ndio wenye turufu ya Siasa na Wanasiasa wa Tanzania badala ya kuwaza zaidi kesho yao katika biashara zao,Leo Machinga akihamishwa kupelekwa mahali patakapoamua kesho yake iliyonjema anahisi kaonewa kwakuwa tu uchaguzi umekwisha,Tunataka viongozi kama Rais Samia wasiojali kesho yao kisiasa ila Kesho ya wamachinga na watoto wao na watoto wa watoto wao,Kama Rais Samia atafanikiwa kuwahitimisha Umachinga hao watu 2.34M maana yake by 2024|25 Tanzania itakuwa na walipakodi zaidi ya 6M na itakuwa rekodi nyingine kwake kwani tangu Uhuru walipakodi wamefikia 3.8M kwenye nchi ya watu 60M,kwa akili za kawaida Watu wanaweza wakadhani machinga wanaonewa kumbe wanasaidiwa kufikia ndoto zao kirahisi, Mwenye masikio naasikie haya,

.........Kazi iendelee .........

VIVA TANZANIA | VIVA SAMIA | VIVA CCM

View attachment 1937108
Unajua Rais Samia amejenga madarasa elfu 18?

Endelea kumwombea
 
Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima | Hakika awamu ya Sita Tanzania lazima iwe Tanzania.​

" Hakuna kama Samaia "​

Baada ya janga la Covid-19 kuvuruga Uchumi wa dunia na sisi tukiwemo, Shirika la fedha duniani ( IMF) pamoja na benki ya dunia ( WB) wameanza kuzisaidia nchi mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania mikopo yenye masharti nafuu ili pesa hizo zitumike kama Economic Stimulus & Relief Fund na hapa muelewe vizuri Tanzania tunapokea mikopo na misaada ila "HATUITEGEMEI " ndio maana hata kwenye bajeti yetu hii ya FY2021|22 katia ya Tshs 36.33trl zilizotengwa pesa zetu ni 91.9% huku misaada na mikopo ikiwa ni 8.1% tu,

IMF tayari imeisaidia Tanzania mkopo wenye masharti nafuu kiasi cha Tshs 1.3trl kwaajili ya kusisimua Uchumi wake uliodorora kwasababu ya covod-19 kwani niukweli usiopingika Tanzania tumeumizwa zaidi kwenye Sekta za Utalii,biashara na Usafirishaji,

Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutumia pesa hizo na baada ya kutoa madarasa ya kisasa elfu 15 sawa na wastani wa madarasa manne kwenye kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima huku kipaumbele kikiwa ni shule zenye upungufu wa madarasa lakini furaha iliyoje Rais wetu ametoa tena jumla ya madawati 462,795 ambayo ni sawa na Wastani wa madawati 120 kwenye kila Shule ya Sekondari nchi nzima ambazo jumla ya shule hizo ni 3,863.

Sababu za Rais Samia Suluhu Hassan kutoa madarasa mapya manne ya kisasa na madawati mapya 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima ni kuhakikisha wazazi wa watoto watakaojiunga na kidato cha kwanza mwakani katika mwaka wa masomo 2021|2025 hawalipi hata Shilingia mia moja kwani Rais wetu mnyenyekevu ameshalipa pia ada za watoto wote 1M wanaotakiwa kuanza shule siku moja nchi nzima yaani trh 06|01|2022,hii haijawahi kutokea katika historia ya nchi yetu,

VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA

View attachment 1971181

Anawezaje haya yote huyu mama?

SGR TZS 10.2T ni Yeye,
SG TZS 6.55T ni Yeye
Madarasa mapya manne kila sekondari nchi nzima,
Madawati 120 kila sekondari nchi nzima
 
UMACHINGA SIO KIPAJI, SIO SIFA, SIO CHEO, SIO KIPAWA | UMACHINGA NI HATUA YA KUFIKIA NDOTO YA KUWA MFANYABIASHARA MKUBWA NDANI|NJE YA TANZANIA
__________________________________________

Nguli wa Uchumi mfaransa Jean Baptiste mwanzilishi wa neno ujasiriamali|Umachinga alisema " Umachinga ni hatua ya kutoka katika uchumi mdogo kwenda uchumi wakati na baadae uchumi wa juu " Jean-Baptiste,

Hata hivyo, niserikali ya kichawi tu ndio inaweza kujisikia fahari mtu kujiita Machinga miaka nenda rudi uje na nimchawi pekee ndio anaweza kujisifia yeye ni mmachinga mzoefu,Umachinga sio sifa wala kipaji ni hatua|daraja la kupita kwenda hatua ya juu zaidi katika kumiliki na kuendesha biashara kubwa,Kila anayetamani machinga aendelee kuwa machinga huyo ni muuwaji wa ndoto za watu hao nani mtu hatari sana kwa Ustawi wa Taifa na Watu wake hasa hao machinga,Akitokea mtu anayetafuta nafuu kwenye Siasa akakwambia wewe Machinga endelea kuwa machinga nitakulinda huyo ni hatari kuliko mchawi na hafai kuwa kiongozi kama anashindwa kukuongoza kwenda kuwa mfanyabiashara mkubwa na anafurahia namna jua linavyoishia mwilini mwako siku kwa siku ili tu siku moja umpigie kura huyo hakufai wewe wala Mungu,

Tanzania inajumla ya Wamachinga 2,335,711 wenye vitambulisho huku wafanyabiashara wakifikia 3.8M,Hii ni sawa nakusema idadi ya wamachinga Tanzania ni 62% ya walipa kodi wote wa nchi hii,Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza wamachinga wapangwe vizuri maana yake watolewe Juani wapeleke kwenye maeneo ambayo watatambulika ( Permanent premises) ili kutimiza ndoto yao ya kuwa wafanyabiashara wakubwa,hapa lazima tumpongeze sana Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan ,Moja ya Sharti kubwa la kupata mkopo toka benki yoyote ya Biashara ni kuwa na eneo sahihi na kufanyia biashara ( business premise ).Nahapa natamani wamachinga mnielewe vizuri nimesema umachinga sio kipaji ni hatua ya ukuaji katika biashara hivyo ni lazima ifike siku Muhitimu huo Umachinga ila kamwe hamuwezi kuuhitimu Umachinga mkiwa Chini pembeni ya Barabara,

Wamachinga wa nchi hii wamefanyiwa sana siasa na imefika wakati wamejiona kama wao ndio wenye turufu ya Siasa na Wanasiasa wa Tanzania badala ya kuwaza zaidi kesho yao katika biashara zao,Leo Machinga akihamishwa kupelekwa mahali patakapoamua kesho yake iliyonjema anahisi kaonewa kwakuwa tu uchaguzi umekwisha,Tunataka viongozi kama Rais Samia wasiojali kesho yao kisiasa ila Kesho ya wamachinga na watoto wao na watoto wa watoto wao,Kama Rais Samia atafanikiwa kuwahitimisha Umachinga hao watu 2.34M maana yake by 2024|25 Tanzania itakuwa na walipakodi zaidi ya 6M na itakuwa rekodi nyingine kwake kwani tangu Uhuru walipakodi wamefikia 3.8M kwenye nchi ya watu 60M,kwa akili za kawaida Watu wanaweza wakadhani machinga wanaonewa kumbe wanasaidiwa kufikia ndoto zao kirahisi, Mwenye masikio naasikie haya,

.........Kazi iendelee .........

VIVA TANZANIA | VIVA SAMIA | VIVA CCM

View attachment 1937108
14|10|2021

Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge

Sherehe zitafanyika Uwanja wa Magufuli,

Karibu sana njoo Uungane na Rais wako,

_______
 
Hakuna kama Samia
 
Wamachinga watanzani wamelemazwa nakubaliana na wewe,

tena wamechezewa sana

Hawakuwa na wakuwasaidia kufikia malengo yao zaidi ya kutafuta kura tu wakati wa uchaguzi, shame

Machinga badala ya kusaidiwa hata kutafutiwa mikopo wanapewa kadi hazina hata majina yao,

Bank gani itampa mkopo huyu mtu anayefanya biashara barabarani?

Nani atoe malikauli kwa mtu asiye na anuani ya biashara

Wamachinga wa Tanzania wameteseka sana,

Hongera sana Rais Samia tunakupenda sana,
Kaziindelee kwa kasi & wekedi zaidi
 
Mjinga wewe kabisa,

,Machadema ndio yamekuwa yakiwalaghai wamachinga kila mwaka, wa uchaguzi,

Hata wao wamachinga wanaondolewa leo ni Machadema yaliwaruhusu wakae vichochoroni ili wapigiwe tu kura,

Chadema mmewachezea sana machinga wa nchi, Shame on you,

Nampongeza sana Mama Samia kwa juhudi yake ya kuwasaidia wamachinga ili walau wapate mkopo na waaminike na watambulike,
👇🏿👇🏿👇🏿

Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
Sawa MUSIBA wa awamu ya mama
Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
 
UMACHINGA SIO KIPAJI, SIO SIFA, SIO CHEO, SIO KIPAWA | UMACHINGA NI HATUA YA KUFIKIA NDOTO YA KUWA MFANYABIASHARA MKUBWA NDANI|NJE YA TANZANIA
__________________________________________

Nguli wa Uchumi mfaransa Jean Baptiste mwanzilishi wa neno ujasiriamali|Umachinga alisema " Umachinga ni hatua ya kutoka katika uchumi mdogo kwenda uchumi wakati na baadae uchumi wa juu " Jean-Baptiste,

Hata hivyo, niserikali ya kichawi tu ndio inaweza kujisikia fahari mtu kujiita Machinga miaka nenda rudi uje na nimchawi pekee ndio anaweza kujisifia yeye ni mmachinga mzoefu,Umachinga sio sifa wala kipaji ni hatua|daraja la kupita kwenda hatua ya juu zaidi katika kumiliki na kuendesha biashara kubwa,Kila anayetamani machinga aendelee kuwa machinga huyo ni muuwaji wa ndoto za watu hao nani mtu hatari sana kwa Ustawi wa Taifa na Watu wake hasa hao machinga,Akitokea mtu anayetafuta nafuu kwenye Siasa akakwambia wewe Machinga endelea kuwa machinga nitakulinda huyo ni hatari kuliko mchawi na hafai kuwa kiongozi kama anashindwa kukuongoza kwenda kuwa mfanyabiashara mkubwa na anafurahia namna jua linavyoishia mwilini mwako siku kwa siku ili tu siku moja umpigie kura huyo hakufai wewe wala Mungu,

Tanzania inajumla ya Wamachinga 2,335,711 wenye vitambulisho huku wafanyabiashara wakifikia 3.8M,Hii ni sawa nakusema idadi ya wamachinga Tanzania ni 62% ya walipa kodi wote wa nchi hii,Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza wamachinga wapangwe vizuri maana yake watolewe Juani wapeleke kwenye maeneo ambayo watatambulika ( Permanent premises) ili kutimiza ndoto yao ya kuwa wafanyabiashara wakubwa,hapa lazima tumpongeze sana Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan ,Moja ya Sharti kubwa la kupata mkopo toka benki yoyote ya Biashara ni kuwa na eneo sahihi na kufanyia biashara ( business premise ).Nahapa natamani wamachinga mnielewe vizuri nimesema umachinga sio kipaji ni hatua ya ukuaji katika biashara hivyo ni lazima ifike siku Muhitimu huo Umachinga ila kamwe hamuwezi kuuhitimu Umachinga mkiwa Chini pembeni ya Barabara,

Wamachinga wa nchi hii wamefanyiwa sana siasa na imefika wakati wamejiona kama wao ndio wenye turufu ya Siasa na Wanasiasa wa Tanzania badala ya kuwaza zaidi kesho yao katika biashara zao,Leo Machinga akihamishwa kupelekwa mahali patakapoamua kesho yake iliyonjema anahisi kaonewa kwakuwa tu uchaguzi umekwisha,Tunataka viongozi kama Rais Samia wasiojali kesho yao kisiasa ila Kesho ya wamachinga na watoto wao na watoto wa watoto wao,Kama Rais Samia atafanikiwa kuwahitimisha Umachinga hao watu 2.34M maana yake by 2024|25 Tanzania itakuwa na walipakodi zaidi ya 6M na itakuwa rekodi nyingine kwake kwani tangu Uhuru walipakodi wamefikia 3.8M kwenye nchi ya watu 60M,kwa akili za kawaida Watu wanaweza wakadhani machinga wanaonewa kumbe wanasaidiwa kufikia ndoto zao kirahisi, Mwenye masikio naasikie haya,

.........Kazi iendelee .........

VIVA TANZANIA | VIVA SAMIA | VIVA CCM

View attachment 1937108
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿

Kutoka Mwaka 2015/16 hadi 2020/21 pesa iliyoongezwa bodi ya mikopo ilikuwa Tshs 101BL na wanafunzi wapya walikuwa elfu 32 ,

Awamu ya sita kwa miezi sita pesa iliyoongezwa kwenye bodi hiyohiyo ni Tsh 120b na wanafunzi wapya ni elfu 29

Budget ya HESLB kwa mwaka 2015/16 ilikuwa 348.7B kwa wanafunzi 98,300

Budget ya HESLB mwaka 2020/21 ilifikia 450B kwa wanafunzi 130,883

_________________________

Awamu ya sita kwa miezi sita imeongeza budget kutoka 450B za awali hadi 570B za sasa na idadi ya wanufaika imeongezeka na kufikia 160,000.

#Hoja hapa ni muda wa matokeo

#HAKUNA KAMA SAMIA
 
Msimamo wa CCM kuhusu Machinga ni upi hasa? Ilani inasemaje?

Naona hapa unaponda mtazamo na hatua zilizochukuliwa na awamu ya tano kuhusu Machinga. Tuseme CCM inakiri kosa ililofanya awamu ile na kuleta sahihisho awamu ya sita?

Wanasema kweli itakuweka huru. Mnapoipigia chapuo CCM na mwenyekiti wake basi muwe wawazi kweli.

Hii kujifanya nchi ilikuwa na hali mbaya sana kabla ya kiongozi wa sasa ni kutufanya mazuzu tuamini kuwa huko nyuma kulikuwa na utawala wa chama kingine (au hata mashetani) ilhali ni watu wale wale wamebadili msimamo tu kama vinyonga.
Nchi inaongozwa kwa Katiba, tamaduni na mahitaji ya wakati,
 
UMACHINGA SIO KIPAJI, SIO SIFA, SIO CHEO, SIO KIPAWA | UMACHINGA NI HATUA YA KUFIKIA NDOTO YA KUWA MFANYABIASHARA MKUBWA NDANI|NJE YA TANZANIA
________________________________________

Nguli wa Uchumi mfaransa Jean Baptiste mwanzilishi wa neno ujasiriamali|Umachinga alisema " Umachinga ni hatua ya kutoka katika uchumi mdogo kwenda uchumi wakati na baadae uchumi wa juu " Jean-Baptiste,

Hata hivyo, niserikali ya kishamba tu ndio inaweza kujisikia fahari mtu kujiita Machinga miaka nenda rudi uje na nimshamba pekee ndio anaweza kujisifia yeye ni mmachinga mzoefu,Umachinga sio sifa wala kipaji ni hatua|daraja la kupita kwenda hatua ya juu zaidi katika kumiliki na kuendesha biashara kubwa,Kila anayetamani machinga aendelee kuwa machinga huyo ni muuwaji wa ndoto za watu hao nani mtu hatari sana kwa Ustawi wa Taifa na Watu wake hasa hao machinga,Akitokea mtu anayetafuta nafuu kwenye Siasa akakwambia wewe Machinga endelea kuwa machinga nitakulinda huyo ni hatari kuliko mchawi na hafai kuwa kiongozi kama anashindwa kukuongoza kwenda kuwa mfanyabiashara mkubwa na anafurahia namna jua linavyoishia mwilini mwako siku kwa siku ili tu siku moja umpigie kura huyo hakufai wewe wala Mungu,

Tanzania inajumla ya Wamachinga 2,335,711 wenye vitambulisho huku wafanyabiashara wakifikia 3.8M,Hii ni sawa nakusema idadi ya wamachinga Tanzania ni 62% ya walipa kodi wote wa nchi hii,Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza wamachinga wapangwe vizuri maana yake watolewe Juani wapeleke kwenye maeneo ambayo watatambulika ( Permanent premises) ili kutimiza ndoto yao ya kuwa wafanyabiashara wakubwa,hapa lazima tumpongeze sana Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan ,Moja ya Sharti kubwa la kupata mkopo toka benki yoyote ya Biashara ni kuwa na eneo sahihi na kufanyia biashara ( business premise ).Nahapa natamani wamachinga mnielewe vizuri nimesema umachinga sio kipaji ni hatua ya ukuaji katika biashara hivyo ni lazima ifike siku Muhitimu huo Umachinga ila kamwe hamuwezi kuuhitimu Umachinga mkiwa Chini pembeni ya Barabara,

Wamachinga wa nchi hii wamefanyiwa sana siasa na imefika wakati wamejiona kama wao ndio wenye turufu ya Siasa na Wanasiasa wa Tanzania badala ya kuwaza zaidi kesho yao katika biashara zao,Leo Machinga akihamishwa kupelekwa mahali patakapoamua kesho yake iliyonjema anahisi kaonewa kwakuwa tu uchaguzi umekwisha,Tunataka viongozi kama Rais Samia wasiojali kesho yao kisiasa ila Kesho ya wamachinga na watoto wao na watoto wa watoto wao,Kama Rais Samia atafanikiwa kuwahitimisha Umachinga hao watu 2.34M maana yake by 2024|25 Tanzania itakuwa na walipakodi zaidi ya 6M na itakuwa rekodi nyingine kwake kwani tangu Uhuru walipakodi wamefikia 3.8M kwenye nchi ya watu 60M,kwa akili za kawaida Watu wanaweza wakadhani machinga wanaonewa kumbe wanasaidiwa kufikia ndoto zao kirahisi, Mwenye masikio naasikie haya,

.........Kazi iendelee .........

VIVA TANZANIA | VIVA SAMIA | VIVA CCM
machinga wamekubali mapigo
 
Back
Top Bottom