Umaarufu wa Israel ni chanzo chake nini?

MzeeMeko

MzeeMeko

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Messages
1,042
Points
2,000
MzeeMeko

MzeeMeko

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2017
1,042 2,000
Nimekuwa nikiuliza siku nyingi sana.Israel ni taifa dogo sawa na mkoa wa Morogoro.
Lakini umaarufu wake hata Marekani wako kama wanawalinda.
Vitabu vya dini viliwaita ni taifa teule la mungu.Ukisoma biblia hata majeshi ya wayahudi walikuwa wakishinda vita kila wakipigana.
Nini sababu kubwa mataifa makubwa Marekani,Urusi,Ujerumani kuwatukuza na kuwaogopa hawa watu.
Sina chuki nao mi sio semitic ila nataka kujua siri iliyofichika juu yao duniani.

c.c Mbwanaallyamtu
 
kirikou1

kirikou1

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2016
Messages
3,586
Points
2,000
Age
27
kirikou1

kirikou1

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2016
3,586 2,000
Nimekuwa nikiuliza siku nyingi sana.Israel ni taifa dogo sawa na mkoa wa Morogoro.
Lakini umaarufu wake hata Marekani wako kama wanawalinda.
Vitabu vya dini viliwaita ni taifa teule la mungu.Ukisoma biblia hata majeshi ya wayahudi walikuwa wakishinda vita kila wakipigana.
Nini sababu kubwa mataifa makubwa Marekani,Urusi,Ujerumani kuwatukuza na kuwaogopa hawa watu.
Sina chuki nao mi sio semitic ila nataka kujua siri iliyofichika juu yao duniani.

c.c Mbwanaallyamtu
Labda kwa sababu wao ndio waliandika hiyo bible na hizo vitabu vya historia
 
Hakimu Mfawidhi

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Messages
733
Points
1,000
Age
29
Hakimu Mfawidhi

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2018
733 1,000
Ujinga tu wa watu. Kwamba Israel ni taifa teule la mungu, sasa sijui huyo mungu aliwapa uhuru waizrael kuua wenzao na yeye Mungu anafurahia waisrael kuua watu wengne. Ujinga..
 
M

Mokaze

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2018
Messages
1,887
Points
2,000
M

Mokaze

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2018
1,887 2,000
Nimekuwa nikiuliza siku nyingi sana.Israel ni taifa dogo sawa na mkoa wa Morogoro.
Lakini umaarufu wake hata Marekani wako kama wanawalinda.
Vitabu vya dini viliwaita ni taifa teule la mungu.Ukisoma biblia hata majeshi ya wayahudi walikuwa wakishinda vita kila wakipigana.
Nini sababu kubwa mataifa makubwa Marekani,Urusi,Ujerumani kuwatukuza na kuwaogopa hawa watu.
Sina chuki nao mi sio semitic ila nataka kujua siri iliyofichika juu yao duniani.

c.c Mbwanaallyamtu

Mtu hupata umaarufu kutokana na mambo mawili; ama Wema au ufedhulj na Israeli (waisraeli) wanajulikana kwa ufedhuli wao.
 
Sajor-Sergio Sjanic

Sajor-Sergio Sjanic

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2018
Messages
856
Points
1,000
Age
19
Sajor-Sergio Sjanic

Sajor-Sergio Sjanic

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2018
856 1,000

Note: Russia Federation haimuogopi wala kuitukuza Israel (Ya Sasa).
 
MzeeMeko

MzeeMeko

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Messages
1,042
Points
2,000
MzeeMeko

MzeeMeko

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2017
1,042 2,000
Note: Russia Federation haimuogopi wala kuitukuza Israel (Ya Sasa).
ni kweli Sajor ila usisahau pande zote wataalam na wagunduzi ambao wako Marekani,Ujerumani,Urusi ni raia wa nchi hizo lakini asili yao wayahudi.
Mfano Albert Einstein baba wa nuclear alikuwa mjerumani myahudi,Mark Zuckeberg na Severin wagunduzi wa facebook ni wamarekani na Mbrazili asili yao wayahudi,Muasisi wa kampuni ya dhahabu Barrick sasa Acacia ni Peter Munk mhungary asili ya uyahudi,Adolf Hitler alikuwa mu Austria lakini mama yake alizaliwa na Myahudi.Mifano mingi.
Nchi ya Israeli idadi ya wananchi wake ni 0.2% ya wananchi wote duniani lakini ajabu 20% ya waliopata Nobel price ni wayahudi.
Lazima wana something special
 
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
5,766
Points
2,000
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
5,766 2,000
Ujinga tu wa watu. Kwamba Israel ni taifa teule la mungu, sasa sijui huyo mungu aliwapa uhuru waizrael kuua wenzao na yeye Mungu anafurahia waisrael kuua watu wengne. Ujinga..
Mkuu, jibu swali la muuliza swali; anauliza umaarufu wao unatokana na nini? Yaani ni nini chanzo cha umaarufu waqo? Kuponda tu wanao amini hivyo bila wewe kuja na jibu mbadala sio sawa; twende kazi mkuu, lete JIBU la swali
 
Sajor-Sergio Sjanic

Sajor-Sergio Sjanic

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2018
Messages
856
Points
1,000
Age
19
Sajor-Sergio Sjanic

Sajor-Sergio Sjanic

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2018
856 1,000
ni kweli Sajor ila usisahau pande zote wataalam na wagunduzi ambao wako Marekani,Ujerumani,Urusi ni raia wa nchi hizo lakini asili yao wayahudi.
Mfano Albert Einstein baba wa nuclear alikuwa mjerumani myahudi,Mark Zuckeberg na Severin wagunduzi wa facebook ni wamarekani na Mbrazili asili yao wayahudi,Muasisi wa kampuni ya dhahabu Barrick sasa Acacia ni Peter Munk mhungary asili ya uyahudi,Adolf Hitler alikuwa mu Austria lakini mama yake alizaliwa na Myahudi.Mifano mingi.
Nchi ya Israeli idadi ya wananchi wake ni 0.2% ya wananchi wote duniani lakini ajabu 20% ya waliopata Nobel price ni wayahudi.
Lazima wana something special
Yes absolutely! Na siku zote sijawahi kukataa au kudharau Mu-Israel huwezi juwa hata wewe una vinasaba vya Mu-Israel. Japo kuna vitu nahisi twakalilishwa au kufundishwa ionekane Mu-Israel ni msaliti au adui.

Namtambua Mu-Israel lakini sitambui taifa la Israel, maana progapanga za US zinajulikana.
 
mohamedi amuri kikoyo

mohamedi amuri kikoyo

Member
Joined
Dec 8, 2016
Messages
11
Points
45
Age
33
mohamedi amuri kikoyo

mohamedi amuri kikoyo

Member
Joined Dec 8, 2016
11 45
Mwenyezi mungu mitume wooote kutoa mmoja tu walizaliwa Israel ivo uzao wao lazma uwe na hakili sana maaana huo uzao ni wa mitume waliopita ila so wote wenye hakili ya kufanya mambo makubwa ivo lazima mataifa mengine Kama malekan iwatumie kubuni mambo yaliyo fichikana unakumbuka wakina musa Ibrahim nawengne wengi walivo kua na uwezo ivo uzao wao bado upo jibu ndo Hilo ukitaka kujua sana soma qruan utajua taifa lile mungu aliwapa nini
 
mohamedi amuri kikoyo

mohamedi amuri kikoyo

Member
Joined
Dec 8, 2016
Messages
11
Points
45
Age
33
mohamedi amuri kikoyo

mohamedi amuri kikoyo

Member
Joined Dec 8, 2016
11 45
Mmarekani baaada ya kugundua kua liletaifa ni teule kutoka kwa mungu aliweza kupandikiza mbegu na kuzaaaa nao ivo wazngu kutoka malekan wamezaa nao may ahadi ili kupata watoto wa uyahudi ndo unaona malekan inafanya mambo makubwa hata alie gundua compyta nae muyahudi ivo wana uwezo mkubwa wa hakili wao nikama mahalias wenye hakili nying sana
 
Pablo Blanco

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
4,065
Points
2,000
Age
25
Pablo Blanco

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
4,065 2,000
Ngoja wafuasi wa yule kibaka aliyebaka binti wa miaka 9 wake wamwage mapovu
 
Counsellor Sima

Counsellor Sima

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Messages
385
Points
500
Age
48
Counsellor Sima

Counsellor Sima

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2016
385 500
Hii thread itakuwa na mambo sana humu ndani hahaaaa coz Israel imetajwa.......kuitaja Israel tu ni battle.....Wacha tuendelee kuiombea tu.
 
M

mitema salumu

Member
Joined
May 30, 2018
Messages
45
Points
125
M

mitema salumu

Member
Joined May 30, 2018
45 125
Mmarekani baaada ya kugundua kua liletaifa ni teule kutoka kwa mungu aliweza kupandikiza mbegu na kuzaaaa nao ivo wazngu kutoka malekan wamezaa nao may ahadi ili kupata watoto wa uyahudi ndo unaona malekan inafanya mambo makubwa hata alie gundua compyta nae muyahudi ivo wana uwezo mkubwa wa hakili wao nikama mahalias wenye hakili nying sana
Samahan mkuu, vp bujumbura kwema? ?
 
Echolima

Echolima

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2007
Messages
3,333
Points
2,000
Echolima

Echolima

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2007
3,333 2,000
Ujinga tu wa watu. Kwamba Israel ni taifa teule la mungu, sasa sijui huyo mungu aliwapa uhuru waizrael kuua wenzao na yeye Mungu anafurahia waisrael kuua watu wengne. Ujinga..
Acha kulalama ovyo jibu swali la mtoa mada acha kuweweseka!!!!
 
Echolima

Echolima

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2007
Messages
3,333
Points
2,000
Echolima

Echolima

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2007
3,333 2,000
Mtu hupata umaarufu kutokana na mambo mawili; ama Wema au ufedhulj na Israeli (waisraeli) wanajulikana kwa ufedhuli wao.
Unajidai kutokujua ufedhuli waliofanyiwa wao???
 
Echolima

Echolima

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2007
Messages
3,333
Points
2,000
Echolima

Echolima

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2007
3,333 2,000
Mmarekani baaada ya kugundua kua liletaifa ni teule kutoka kwa mungu aliweza kupandikiza mbegu na kuzaaaa nao ivo wazngu kutoka malekan wamezaa nao may ahadi ili kupata watoto wa uyahudi ndo unaona malekan inafanya mambo makubwa hata alie gundua compyta nae muyahudi ivo wana uwezo mkubwa wa hakili wao nikama mahalias wenye hakili nying sana
Kwa maana hiyo na mimi unaniruhusu nizae na Binti yako maana inaonekana wewe una akili sana ili na mimi ukoo wetu upate maarifa na akili nyingi???
 
M

Mokaze

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2018
Messages
1,887
Points
2,000
M

Mokaze

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2018
1,887 2,000
Unajidai kutokujua ufedhuli waliofanyiwa wao???

Mimi sitetei ufedhuli wa aina yoyote dhidi ya binadamu yeyote, ila ni vyema kuangalia historia ili tujifunze tusiangukie katika ufedhuli.

Mtu anatakiwa aangalie alijikwaa wapi kuliko kuangalia mahali alipoangukia.

Je, unajua waisraeli walijikwaa wapi hadi walipofanyiwa ufedhuli na maNAZI??.
 
Echolima

Echolima

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2007
Messages
3,333
Points
2,000
Echolima

Echolima

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2007
3,333 2,000
Mimi sitetei ufedhuli wa aina yoyote dhidi ya binadamu yeyote, ila ni vyema kuangalia historia ili tujifunze tusiangukie katika ufedhuli.

Mtu anatakiwa aangalie alijikwaa wapi kuliko kuangalia mahali alipoangukia.

Je, unajua waisraeli walijikwaa wapi hadi walipofanyiwa ufedhuli na maNAZI??.
Ujinga mtupu kwa maana hiyo unaunga mkono ufedhuli uliofanywa na ma-NAZI??Kajipange upya kujibu hoja hapa unabwabwaja tu!!!
 
Forum statistics

Threads 1,296,486
Members 498,655
Posts 31,249,917
Top