Ultimate Standard Gauge Railway Thread: Countdown to the launch

SGR
C7dTeQ7XkAAeQlL.jpg:large

C7dTf5oXgAAcUkH.jpg:large

C7N252FW4AA6WlO.jpg

C7N_ETuXgAAX6F1.jpg
 
The standard of these SGR Kenya Stations is top notch. And from your last pic, does it mean that these pillars have spaces inside??
17493157_711475629025164_4930076813432679541_o.jpg

Oh yes. These stations are breathtaking!

Yes the larger pillars do have space on the inside, for maintenance and, in some cases, utilities.
 
Facts and figures
gV6a87Hh.jpg

Salaam katika jedwali hapo juu sehemu kuhusu utokezaji wa kaboni haieleweki. Kama sasa asilimia 80 ya utokezaji wote wa kaboni hutokea barabarani, hizi asilimia 40 ni za nini? Yaani inamaanisha ya kwamba utokezaji wa kaboni barabarani inapungua kuwa 40 za kiwango cha awali`? Au ya kwamba baadaye barabara zitachangia 40% za utokezaji wa kaboni kitaifa? Lakini kwenye uwiano gani??
 
Wanaongea kuhusu carbon emission na uhusuano wake na malori(trailers) na magari ya kawaida....
Yaani kwa hio barabara ya Mombasa-Nairobi, kwasasa asilimia 80 ya carbon emission kwa hio barabara hutokana na uendeshaji wa malori, na 20% husababishwa na magari mengine kama ya kibinafsi au mabasi, lakini SGR ikianza kutumika malori yatakayobaki barabarani yatachangia asilimia 40 ya carbon .....
Kwasasa inasemekana kuna malori 4,500 yanayotembea barabara ya Msa-Nai kila siku
 
Sawa lakini maana yake ni nini? Tukiongelea asilimia lazima kutaja 100%. Sasa, kwa kadirio hili kuna kupungukiwa kwa utokezaji wa kaboni kwa jumla kiasi gani? Maana hata reli inachangia kwenye machafuko kwa kiasi fulani. Diseli inachomwa, au baadaye stima ya injini inatokea wapi?
 
Reli linasafiri kwa kasi na inabeba mizigo mengi mara moja. Lakini trucks husafiri polepole zikiwa zimebeba mizigo na pia truck moja inaweza tu kubeba container moja. Reli moja linatoa trucks kama 216 kwa barabara.
 
Hii yote ni sawa. Hata hivyo maelezo ya juu kuhusu asilimia haieleweki. Ni kweli ya kwamba tani ya mizigo inasafirishwa kwa reli kwa kutoa kaboni kidogo kulingana na usafiri kwa lori (kama treni inajaa kiasi cha kutosha! kama la ni tofauti). Lakini kama badiliko linatokea ni pia kiwango chote cha kaboni kinachobadilika. Maana kama kiwango kwa jumla kingebaki hivihivi, faida ya kuhamisha kaboni kutoka lori kwa treni ni nini?
Hapa nasema takwimu inatakiwa kuonyesha kadirio ni kiasi gani ile kaboni inapungua kama sehemu kubwa ya mizigo inahamishwa kutoka lori kwenda reli. jinsi ilivyoandikwa hapa juu haina maana.
 
You want the numbers? that I cant give you... it would be insane for them to show the calculations they did on a poster that has other information and is meant for the general public. But the carbon emission will reduce significantly, hence I trust the figures.
 
17342665_276660009434490_8858341028530150642_n.jpg

dawa ya nyang'au electrical SGR
 
hehe! Eti electrical? Tuyaache hayo! Sasa wewe fikiria hiyo ni picha tu! Bado mna miaka!! And maybe you are thinking Electric trains ni teknolojia ya kisasa, umekosea, hiyo ni mbinu mbadala ya kutumia mafuta kwa kuwa ni bei nafuu, ila ujue hii huwa sawa kwa nchi ambazo zina umeme wakutosha, sio unyime watu umeme, eti unapeleka kwa reli ambayo bado inaweza enda kwa diesel. Electric Trains are even older than Diesel trains developed as early as 1940!!!!
Below: A Pacific Electric Railway car on its San Fernando Valley route circa the 1940s.

Valley_PE_Car_ca1940s.jpg
 
I came across this post of the SGR business class from the page of an official photographer of the SGR.
 
Attachments

  • Screenshot_2017-03-29-09-16-59.png
    Screenshot_2017-03-29-09-16-59.png
    363.5 KB · Views: 53
Back
Top Bottom