Ulokole wa facebook

kwanini mambo yanapoenda sivo ndo unaokoka? Okoka mapema,wengine ni wafiki tu me nawaonaga unamtokea anakubali unajigia na kisha unamtema
 
Nakubaliana na wewe kabisaa, aliyenadhambi ndio anayemwitaji mwokozi, hata Yesu mwenyewe alisema amekuja kwa walio na dhambi.
 
amen ubarikiwe mkuu.
 
asante umeongea vyema, tatizo watu wengine hawana maisha yao kutwa kufuatilia ya wengine.

Wala sio kufwatilia maisha...wewe km in rafiki yangu was Facebook automatically nikilog in au nikiwa online lazima nione kwenye new feed
 
Yani kila mtu anashusha mistari mpaka inakuwa ngumu kumaliza feeds zote...mi kuna watu nashindwa kujua wameokoka, fashion, au frustration maana ni washikaji na ni watu wa kawaida tu all of a sudden siku hizi kila uchao ni full mistari...isije kuwa wana frustration wanahitaji counselling...maana mistari yenyewe ni ile ya mafumbo mafumbo wanachomoa toka kwenye baibo...

imagine mtu anaandika...'Bwana ndiye mchungaji wangu nimuogope nani'...kuna tofauti gani na ile 'karibu mgeni, utakalolikuta nyumba hii liache humu humu'...au na mimi niamue kuandike 'si kila anayeita bwana bwana atauona ufalme wa mbinguni' hapo itakuwa vipi...mipasho tu...

Maana hata kama ni mahubiri uangalie na audience yenyewe...

Wala sio kufwatilia maisha...wewe km in rafiki yangu was Facebook automatically nikilog in au nikiwa online lazima nione kwenye new feed
 
haaaa we Viol usintafutie balaa mie..,

halafu kwani hujaona mambo yangu mtaa wa pili.
nimeona si ndo hivo una maringo nikuambia dada vipi,unasonya huku sehemu za nyuma ukitingisha,haya bhana tesa tu we ngoma ghali
 
hao wa bwana asifiwe watoswe sasa na malengo yao kukwama,utaona wanaporomosha matusi
 
nimeona si ndo hivo una maringo nikuambia dada vipi,unasonya huku sehemu za nyuma ukitingisha,haya bhana tesa tu we ngoma ghali

hahaaaaaaa nimechekaje ..
halafu nakumbukia ile ngoma ya prof Jay zali la mentali..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…