Ulokole wa facebook

We Kama mlokole pita kuleeeee na ufake wenu. Wakati mnagalagazwa majanini aaaagg ila mkija hapa mnajifanya Kama sio wale...kwendreeeeeni
 
Mrembo unapiga usoni tu duh...sehemu zingine huzioni au we ni specialist wa za uso tu! Wahurumie kidogo.
 
Ukiona mtu anaingia kwenye Ulokole ujue jua lishazama hasa 30+yrs


Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
Nimeipenda sana facebook kwa hilo. Zamani watu walikuwa wanaona kama kumpokea Yesu na kumkiri hadharani ni kama ushamba flani hivi. Sasa wengine wanapoona sisi wajanja tunamkiri Yesu hadharani hasa kwenye fb, nao wanahamasika. Kwa kweli sasa hivi Yesu ana wafuasi wengin sana ambao wanamkiri hadharani tofauti na miaka minne hivi iliyopita. Fb ina mchango mkubwa kwenye hilo...
 
alafu kuna watu wengne wanaichukulia fb very serious,mtu umepost kitu fb wanakutafuta kwenye simu.
 

this is very true!
 
Mrembo by Nature ushapata mchumba au mme?
 
Last edited by a moderator:
wenye ndoa ndo zaidi,huwa kwenye profile wameandika married na unaona kaweka pics za familia yake yote ila inbox atasema tuna mgongoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…