Ilishasomwa Ijumaa na nasikia kitu kishadondoka bafuni/ chooni huko
Ni aibu serikali kuogopa ushirikina
Kwani ninyi kila siku kuomba kuombewa ndio sera yenu? Ogopeni hivyohivyo japo tulikuwa tunawapima upepo ili kujua wahusika wa shambulio lile. Tulishawajua na ndio maana tangu ijumaa na jana jumapili mmetaabika sana kuzuia maombi kwani mnajua yasivyokuwa na msalie! Mmeharibu sana na la kufanya watoeni wahusika kama kafara ili msifarakanishwe na dunia!Ni aibu sana kwa chama fulani kutegemea ushirikiana kama sera ya kuwaingiza ikulu. You have run out of options. uwezo wenu sasa umedhihirika.
Hii habari umeitoa wapi ha ha ha ha ha wabongo nyie noma sana
Hii habari umeitoa wapi ha ha ha ha ha wabongo nyie noma sana