Zimeshasomwa mkuuhio kitu ikisomwa lazima ulimwebgu ushangae kama kenya walivyoweza kushangaza ulimwengu kwa kufuta uchaguzi
Mkuu tulikuwa Pemba huku kushatakia sasa twasubiri tu matokeo.Unataka watu waanze kutembea uchi?
Kwasababu serikali haitendi haki na ushirikina ndiyo njiabadala ya kupata haki yetu. Kuna siku tutakuwa madarakaniNi aibu sana kwa chama fulani kutegemea ushirikiana kama sera ya kuwaingiza ikulu. You have run out of options. uwezo wenu sasa umedhihirika.
Nin kimedondoka bafuni mkuuIlishasomwa Ijumaa na nasikia kitu kishadondoka bafuni/ chooni huko
Mbona nyie mnategemea dola aise acha kutoka povuu weka bunduki chini tubishane kwa hojaNi aibu sana kwa chama fulani kutegemea ushirikiana kama sera ya kuwaingiza ikulu. You have run out of options. uwezo wenu sasa umedhihirika.
Ni aibu serikali kuogopa ushirikinaNi aibu sana kwa chama fulani kutegemea ushirikiana kama sera ya kuwaingiza ikulu. You have run out of options. uwezo wenu sasa umedhihirika.