Ulizo kuhusu Bodi ya Mikopo (HESLB)

Ulizo kuhusu Bodi ya Mikopo (HESLB)

Wewe unatawaliwa na hisia kuanzia hoja zako mpaka reaction zako, Pole.
ahsante
Kuna dogo namjua alimaliza form 6 2018,kaomba mkopo hakupata,,2019 kaomba mkopo hakupata,2020 kaomba mkopo hakupata [emoji28],2021 kaomba mkopo hakupata [emoji1],2022 kaomba mkopo alipata 2% hakwenda chuo alitegemea aombe mwaka huu napo hana vigezo,,na tangu shule ya msingi hadi advance alisoma shule za serikali,kwao hali ngumu mno daaah[emoji848],,enewei inabidi akomae tu na kilimo cha mchicha
Big up xn wa aina hiyo pia wapo wengi xn mkuu , ni hatar mno kuwanyima ndoto zao kwa kigezo hicho cha muda toka kumaliza wakati walikua wakisotea miaka yote na baadae bisu la miaka mitano nyuma linakuja kuwafukunyua Ndoto zao
 
Back
Top Bottom