phael vet
Senior Member
- Sep 30, 2016
- 126
- 82
Jamani Bodi ya mkopo wa Elimu ya juu mbona mnaweka vigezo vya kunyanyasa/ kuwakandamiza wanafunzi waliopitia mfumo wa Diploma? Kunufaika na hizo pesa ambazo baadae wanazirudisha.
Hicho kipengele namba 6 kwamba lazima awe amehitimu ndani ya miaka mitano ni kuwanyima haki ya kupata, kama mtu hajafika miaka 35 kwanini muweke mipaka ya hiyo miaka 5?
Hicho kipengele namba 6 kwamba lazima awe amehitimu ndani ya miaka mitano ni kuwanyima haki ya kupata, kama mtu hajafika miaka 35 kwanini muweke mipaka ya hiyo miaka 5?