Ulizo kuhusu Bodi ya Mikopo (HESLB)

hahahaaa mkuu hujanielewa .Nilimaanisha kuna wengine hawajafika hiyo miaka 35 ingawaje walimaliza muda uliozidi miaka 5 je unaona ni sawa kuwanyima wasiombe kisa kigezo cha muda waliomaliza?
Wawasiliane na bodi watapewa maelekezo dirisha likishafunguliwa,

404: Page Not Found
 
Tunajadili kwa manufaa ya wengi
Ndio nmekwambia uwasiliane bodi ya mikopo dirisha likishafunguliwa watakupa maelekezo ya kina au nenda pale Saba Saba ijumaa kwenye Banda lao utajifunza mengi,

404: Page Not Found
 
Cha maana walichofanya HESLB ni mfumo mpya wa malipo.
Mwanafunzi ata sign boom na Ada popote alipo ili mradi awe na smartphone tu.
 
Ndio nmekwambia uwasiliane bodi ya mikopo dirisha likishafunguliwa watakupa maelekezo ya kina au nenda pale Saba Saba ijumaa kwenye Banda lao utajifunza mengi,

404: Page Not Found
mkuu Ahsante kwa ushiriki wako katika uzi wangu wenye maono ya kusaidia wengi
 
Sasa ulichosaidia wengi kiko wapi ?

404: Page Not Found
Haya mawazo tunayojadili hapa ndio yatayoenda kurekebishwa na kufanyiwa kazi kama hauna imani kua unasaidia watu wengine kupitia haya mazungumzo basi
 
Maoni yako ni yapi umri usogezwe mpaka miaka 60 wawe wanaomba mkopo na hata wale waliomaliza 1961 pia wapewe mikopo ya Chuo au sio ?

404: Page Not Found
 
Maoni yako ni yapi umri usogezwe mpaka miaka 60 wawe wanaomba mkopo na hata wale waliomaliza 1961 pia wapewe mikopo ya Chuo au sio ?

404: Page Not Found
MAONI YANGU NI KWAMBA MUDA WA WAOMBAJI MKOPO USIZINGATIE MIAKA 5 TOKA MUDA WALIPOMALIZA MASOMO KWA KUA SIO WOTE WALIOMALIZA ZAIDI YA HIYO MIAKA WAKO NA UWEZO WA KUJISOMESHA/KUJILIPIA ADA ELIMU NI HITAJI LAMSINGI KAMA INAWEZEKANA WASIWEKEWE VIKWAZO
 
Haiwezani Tayari.
 
Sawa tusibishane Amini katika unachokiamini mkuu
Mkuu vigezo kama hivyo ni muhimu ili kuhakikisha wanaopata haki hiyo ni wale walengwa hasa, Vijana wenye umri wa shule na Wasio na hekaheka za Maisha. Hawa wako Active na Elimu na pia kwa umri wao ni haki yao. Wewe tunasema ulichezea muda.
 
Aah sawa ila haujaelewa maada hapa sizungumzii kuhusu mimi nazungumzia kuhusu jamii kwani wewe unajuamimi ni nani ? Nafanya nini kwa sasa , Mimi nazungumzia kuhusu hivyo kwakua mimi nilipitia diploma najua nilivyosoma kwa shida mpaka kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu ,hivyo naongelea juu ya watu wa aina kama niliyopitia mimi ,toa mchango wako bakia kimya hapa ni jukwaa la mawazo na sio sehemuya kutoa vijembe kwa watu usiowajua
 
Hiko kigezo kipo standard kabisa wasipokiweka hicho wapo wengi wenye uitaji watakosa kwa mfano ndugu kuna fresher ambao wametoka tu form 6 wakakosa mikopo na wahitaji kwa sababu ya waombaji wengi akarudi mtaani huyu chet chake Cha 6 kitamsaidia Nini Bora ya huyu wa diploma walau ana possibility ya kubahatisha kajob kakamsogeza walau. Nb Tena me naona miaka mitano mingi waangalie uwezekano wa kushusha uwe ata Mmoja fresher waneHemeke awa wa dip walau washaona mwanga
 
Shwari mkuu umeelezea vema sanaaa , Ahsante kwa mawazo yenu kwa pamoja tuijenge nchi yetu
 
Aah sawa ila haujaelewa maada hapa sizungumzii kuhusu mimi nazungumzia kuhusu jamii kwani wewe unajuamimi ni nani ? Nafanya nini kwa sasa , Mimi nazungumzia kuhusu hivyo kwakua mimi nilipitia diploma najua nilivyosoma kwa shida mpaka kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu ,hivyo naongelea juu ya watu wa aina kama niliyopitia mimi ,toa mchango wako bakia kimya hapa ni jukwaa la mawazo na sio sehemuya kutoa vijembe kwa watu usiowajua
Wewe unatawaliwa na hisia kuanzia hoja zako mpaka reaction zako, Pole.
 
Kuna dogo namjua alimaliza form 6 2018,kaomba mkopo hakupata,,2019 kaomba mkopo hakupata,2020 kaomba mkopo hakupata ,2021 kaomba mkopo hakupata ,2022 kaomba mkopo alipata 2% hakwenda chuo alitegemea aombe mwaka huu napo hana vigezo,,na tangu shule ya msingi hadi advance alisoma shule za serikali,kwao hali ngumu mno daaah,,enewei inabidi akomae tu na kilimo cha mchicha
 
Back
Top Bottom