Mtumpole
JF-Expert Member
- Aug 30, 2010
- 2,280
- 1,293
Huyu ni baba mzazi wa ZuchuKuna nyimbo Moja ya taarab naitafuta Sana atakaeipata natoa zawadi inaitwa
"Ooh nakula nao wabaya Ni hao hao" ameimba othman sudi Kama sijakosea..ya zamani saana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo sana tunyimbo za muungano cultural troupe album ya dereva zapatikana kwa mtandao kweli? nijibu tafadhali. ... na kama zipo, ni mtandao gani. ...?