Ulizia wimbo wowote wa taarabu hapa {special thread}

Ulizia wimbo wowote wa taarabu hapa {special thread}

Naomba kuna ule anaimba "Bafuni unapikia jikoni unaogea" halafu sijui nini na nini kisha "masela wa vijiweni uroda wajipatia kwako kwa foleeni" nashindwa kutambaa na beat coz siyo mambo yangu haya ila huu wimbo nina historia nao sana.

Aliyeuimba nadhani amefariki sasa,Mungu amrehemu.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Utalijua Jiji. By East African Modern Taarab

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natafuta wimbo wa Chura ( ulikuwa ukipigwa mwanzoni/mwishoni mwa igizo moja hivi la wakenya miaka ya 90)

"chura nakuulizia unipe jibu.makini kila ijapo mvua wakimbilia bwawani ..
......"
Asante mkuu kwa kuniwakilisha.
 
Kuna nyimbo Moja ya taarab naitafuta Sana atakaeipata natoa zawadi inaitwa
"Ooh nakula nao wabaya Ni hao hao" ameimba othman sudi Kama sijakosea..ya zamani saana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu wimbo ulitoka mwaka 1994, album iliitwa Dereva. Kundi ni Muungano cultural Troupe. Kwenye album hii kuna na nyimbo nyingine kali kama Limbukeni ulioimbwa na Ally Hemedi Star na Kibiriti.

Democracy means that Domo kiasi
 
Naomba kuna ule anaimba "Bafuni unapikia jikoni unaogea" halafu sijui nini na nini kisha "masela wa vijiweni uroda wajipatia kwako kwa foleeni" nashindwa kutambaa na beat coz siyo mambo yangu haya ila huu wimbo nina historia nao sana.

Aliyeuimba nadhani amefariki sasa,Mungu amrehemu.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk

Wimbo unaitwa utalijua jiji


Sent using Sent from iPhone
 
Achia ngazi mchuma unaondoka

Sent using Jamii Forums mobile app
Achia ngazi bibi mchuuma unaondoka huo achia ngazi bibi mchuma unaondoka huo
Umepelewaa naondoka naye umeidhiwa ninadunda nayee

Kaona mambo iko huku taarabu imo taarabu imox2
We utaumiza roho yakoo eeh
Hebu jitazame umbo la flat wajipa kiwewe umepigwa
Nasma khamis kidogo huyu mama sauti yake taaamu sana

Dah ikajibiwa na wimbo wa mambo iko huko hadija kopa


Naye akajibiwa na wimbo wa sanamu la michelini
Bwana akiwa kwako akiwa kwako akitoka nje si wako. Siri zako twazijua sanamu la michelini

Dah enzi hizo

Wala haiwi pumzi we yote yamepangwa na mungu
Mkuki ni kwa nguruwe kwa binadamu mchungu
 
naomba nitumie nyimbo za muungano cultural troupe album dereva whatsapp number +254786999909 I've been trying to look for them kwa mtandao lakini hakuna kabisa. ... mwenye anazo anitumanizie tafadhali naomba. ...
 
nyimbo za muungano cultural troupe album ya dereva zapatikana kwa mtandao kweli? nijibu tafadhali. ... na kama zipo, ni mtandao gani. ...?
 
Back
Top Bottom