Kataa Rushwa
JF-Expert Member
- May 15, 2015
- 719
- 745
size... ya battery ..solar control... na solar panel......Taa za DC zenye mwanga mkubwa zipo nyingi sana zilizotengenezwa kwa teknolojia ya LED cha msingi nunua kuanzia 5watts hadi 10watts zinamwanga wa kutosha sana kwa shughuli ya security lights.pia photoelectric sensors za DC 12volts zipo nyingi tuu sema labda kama bongo hazipo ila kwenye duka moja pale ubungo zipo kwa mdada mmoja hivi kwenye hii njia ya chinini yakuingilia chuo cha mlimani kama unatokea ubungo pale pale upande wa kulia ulizia duka la vifaa vya electronics utaonyeshwa.