Uliza swali lolote kuhusu solar PV and solar pumps

Panel inapokuwa na power kubwa basi na bei yake nayo huwa kubwa hivyo hivyo maana uwezo wa panel ya 100watts utakuwa ni mdogo sana kulinganisha na panel ya 300watts.
Hujanielewa Mkuu.
Zote ni size moja lkn kampun tofauti....na bei inapishana sana kqrb Mara 2
 
Habari zenu wadau wapi naweza pata Solar Unit ambayo
1. Inaweza run pump ya kisima (iliyozamIshwa )
2. Bulb zisizozidi 6
Nataka kujua ni watts ngapi zitatosheleza ?
Na solar panel za ukubwa gani zitatosha ?
Jee itagharimu kiasi gani ?
HP 2. Kisima urefu 70m
 
Naweza kudesign system itakayo fit hayo mahitaji yako, tutafutane.
 
Habari zenu wana jf
Leo nimeona nijaribu kujibu maswali yenu kuhusu maswala ya solar na vifaa vyake maana najua kuna ugumu kiasi fulani mtu anapotaka kufunga system ya solar nyumbani kwake tofauti na mtu atakae funga umeme wa tanesco ambao hauhitaji kufanya sizing hilo kinakuwa ni juu ya tanesco.
Je kuna circuit breaker za solar, ambazo kukiwa na shoti kwenye mfumo wa umeme ikate yenyewe?

Najua kuna kuna Solar control ila sina uhakika kama zinaweza kufanya kazi hiyo.
 
Yes zipo ila wauzaji wengi wa hapa tanzania ndio hawaleti ila kampuni ya Schneider electric wanazo nyingi sana wana branch yao Nairobi
 
Je ukitumia breaker zile za umeme wa AC inaweza kufanya kazi kwenye umeme wa solar (DC)?
 
Kupitisha umeme utapita but inapokuja swala la overloading haitaweza kusense na kukata circuit so waya zitapata moto na hatinaye insulation itapungua uwezo na hatimaye moto unaweza kuwaka, so always make sure unatumia DC breaker for DC systems and AC breakers for AC systems.
 
Asante.
Kuna nyumba imefanyiwa wiring ya umeme wa kawaida, kwa kuwa eneo hilo hamna umeme wa Tanesco kwenye system hiyo ya umeme imebidi kutumia solar, ila breaker ya AC haijafungwa.
Nikawa nawaza kama inawezekana itumike breaker hiyo hiyo ya AC. Ndio maana nikauliza hilo swali.
 
Ila kama kama utakuwa unatumia inverter kuendesha kila kitu kwenye hiyo nyumba hapo hiyo breaker ya AC itafanya kazi ila kama kuna mchanganyiko kwamba kunasehemu kuna vifaa vya AC na pengine kuna vifaa vya DC hapo kutakuwa na shida kwenye baadhi ya circuit.
 
Matumizi makubwa ni taa ambazo ni za solar, ipo inverter moja inatumika kuchajia simu tu.
 
Nahitaji solar pump ya kuvuta maji kisima chenye urefu wa mita 65 chini ya ardhi
 
Aisee ndugu yangu Mimi nataka kuweka umeme wa solar nyumbani kwa wazee wangu, nyumba kama taa 18 hdi 20, TV na kucharge simu kama nne hivi. Solar panel ya ukubwa gani inatosha? Na ningeshukuru kama nitajua na bei zake kwa huko arusha maana Mimi Niko bukoba na nyumba hiyo iko huko arusha- karatu.
 
Nimefanya wiring ya nyumba ya mama kijijini ambapo kutokana na kutokuwepo umeme karibu nimeopt kumwekea umeme wa Solar. Kipindi fulani tuliwafuata hawa wataalam wa ENSO kupata mwongozo na kujua bei zao za vifaa ambapo baada ya maongezi marefu waltuambia haya yafuatayo:-
1. Wiring yetu tulitumia wire wa 1.5 badala ya 2.5 hivyo system yetu inaweza isifanye kazi vizuri ipasavyo kwani umeme mwini utapotea (Taa zinaweza kuwa zinaungua mara kwa mara)
2. Walishauri tununue Invetor kubadili umeme wetu wote toka DC kwenda DC
Mimi siyo mtaalam hivyo naomba yeyote anayeweza kutoa ushauri wa nyongeza anipatie nami nitaupokea kwa unyenyekevu. Pia nahitaji kupata mwongozo wa wapi naweza kununua vifaa genuine vya Solar kwa bei nafuu.

Ahsante
 
Waya wa 1.5mm² ni sahihi kwa upande wa taa na 2.5mm² ni sahihi kwa sehemu zenye sockets.
Kufunga inverter inategemeana na wewe mwenyewe kama utakuwa na vifaa ambavyo vitahitaji umeme wa AC, ila kama vifaa vyako vyote ni DC basi hakuna haja ya kununua inverter maana inverter nayo ni kama load kwenye system yako maana haipo 100% efficient.
 
Nashukuru kwa ushauri wako. Je wapi hapa Dar naweza kupata vifaa vya solar Genuine kwa bei nzuri? Ahsante

Back
Top Bottom