Sadiki Abdallah
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 885
- 579
Betri ipi nzuri kutumia kati ya betri ya unga na ya maji?
Ya majiBetri ipi nzuri kutumia kati ya betri ya unga na ya maji?
Kwa nn maji mkuuYa maji
Betri zinazoongezwa maji zinafaida nyingi sana ila chache kati ya hizo nyingi ni kwamba zina maisha matefu ukilinganisha na hizo betri za AGM na GEL, pia swala la kiluzifanyia maintenance ni simple, pia storage capacity ya betri huwa inapungua kutokana na kupungua kwa acid ndani ya betri sasa kwa hizi betri ambazo unaweza kuongeza acid unauwezo wa kuongeza capacity yake kwa kuongeza acid kama ikiwa imepungua. Pia baadhi ya watengenezaji wa hizi betri za kuongeza acid wanasema unaweza kucharge na kudischarge hizi betri mara nyingi sana bila ku affect the cycling life of battery tofauti na hizo betri zinazotumia technology nyingine.Kwa nn maji mkuu
asante na ubarikiwe,sasa naenda kufanya maamuzi.Betri zinazoongezwa maji zinafaida nyingi sana ila chache kati ya hizo nyingi ni kwamba zina maisha matefu ukilinganisha na hizo betri za AGM na GEL, pia swala la kiluzifanyia maintenance ni simple, pia storage capacity ya betri huwa inapungua kutokana na kupungua kwa acid ndani ya betri sasa kwa hizi betri ambazo unaweza kuongeza acid unauwezo wa kuongeza capacity yake kwa kuongeza acid kama ikiwa imepungua. Pia baadhi ya watengenezaji wa hizi betri za kuongeza acid wanasema unaweza kucharge na kudischarge hizi betri mara nyingi sana bila ku affect the cycling life of battery tofauti na hizo betri zinazotumia technology nyingine.
Maisha ya betri huwa ni number of cycles ambazo zinakuwa indicated kwenye betri data sheet so kwa mfano ukikuta betri ya 5000cycles maana yake unaweza ukaicharge na kuidischarge mara 5000 mpaka betri kuja kufa na unapochaji mpaka likajaa halafu ukatumia mpaka likaisha hapo unakuwa umeshatumia cycle 1. So wajanja ndio wamegundua kuongeza hizo cycles wao hawadischarge betri mpaka 0% SOC they only go for 50%DOD.asante na ubarikiwe,sasa naenda kufanya maamuzi.
kwa kawaida betri inatakiwa uitumie miaka mingapi kabla haijaisha nguvu na kuinunua nyingine?.
Nahitaji kufahamu bei za hizo pumps bossAsante tupo pamoja
Boss taja hata makadirio ya bei za hizo ulizoxotaja plzBei za solar pumps zinategemeana na vitu kama vitatu hivi
1:Head (umbali inayoweza kuvuta maji)
2ower ya pump(Hp or kW)
3umping capacity (m³/h or L/h)
So bei ya solar pump itategemea sana hivyo vitu na pia wewe mwenyewe unavyoenda kununua solar pump au pump ya kawaida ya AC lazima ujue hivyo vitu, usipo zingatia hivyo vitu ndio utaona matatizo kama yale ya kupata maji kidogo kwenye umbali ulani au labda una tank lata elfu kumi ukatumia siku nzima kulijaza
Mkuu hata yangu nimefunga hivyo ila tatizo lilianzia. Ilipofungwa vizuri taa zilikuwa zinazima hata kama umeme upo. Ila tatizo hilo lilianza baada ya usb port kutofanya kazi bila kujua tatizo nini baada ya hapo kidogo tu taa zinazima. Nataka kununua control charger jingine. Naomba iana bora yenye kumudu sola ya 240 watts na battery za 100N mbiliHiyo kitu ina sehemu Tatu.
1 sola
2 battery
3 matumizi.
Hiyo sehemu ya 3 haijatumika.
Tafsiri yake ni kwamba utatumia hadi moto uishe kabisa ndo itazima .
Na betri haitakiwi kuisha moto kabisa.
Ukifunga pale kwenye njia yake inamaana controller ndo itacontroll matumizi kweli.
Ikifika 9V inaacha kupleka moto.
Lakini hapo inapigwa. Hadi utakapozima.
Sijui nimeeleweka....
Waya mzuri ni waya ambao utapitisha umeme kwa urahisi ila mzuri ni copper wire ila uwe mnene kuepuka voltage drops zinazoweza kusababishwa na wembamba wa waya ila kiutaalamu wanasema waya mdogo kabisa unaoweza kuutumia kwenye mfumo wa sola ni 2.5mm² ila mm nachoshahuri watu wengi ambao hawajui kufanya hesabu za kupata size ya wire inabidi kati ya sola na betri lako utumie waya wa copper ambao ni stranded wenye unene kati ya 4mm² au 6mm² hapo utakuwa upo safe zaidiWaya mzuri wa kutoa moto kutoka kwenye sola kwenda kwenye betri ni aina ipi?
Hebu taja bEtri yako ina AH ngapiNaomba ufafanuzi mimi nina Panel Watt 40 na nina betrii watt 26 nina taa nane na nina charge sim 6 kwa siku je matumizi yangu ni sahihi kwa siku?
Nashukuru sana mkuu, kwa hivyo nikichukuwa waya mbili za 2mm itafaa?Waya mzuri ni waya ambao utapitisha umeme kwa urahisi ila mzuri ni copper wire ila uwe mnene kuepuka voltage drops zinazoweza kusababishwa na wembamba wa waya ila kiutaalamu wanasema waya mdogo kabisa unaoweza kuutumia kwenye mfumo wa sola ni 2.5mm² ila mm nachoshahuri watu wengi ambao hawajui kufanya hesabu za kupata size ya wire inabidi kati ya sola na betri lako utumie waya wa copper ambao ni stranded wenye unene kati ya 4mm² au 6mm² hapo utakuwa upo safe zaidi
Kingine pia umeme wa solar ni umeme kama ulivyo umeme wa tanesco unaweza kuunguza nyumba endapo Short circuit ikitokea so btn the panel na betri yako hakikisha unatuma mcb ambayo itakuwa ni special for DC.
Karibu
Inawezekana ila kuna ugumu hasa katika kuset exactly specs za charger.....ienawezaje kucharge laptop bila kutumia inveter,
Mkuu habari?Kwa hii system yako matumizi ya umeme ni 300watts × 24 hours =7200Wh or 7.2kWh or 7.2 units per day kwa kuzingatia jiografia ya eneo na siku unazotaka system yako iendelee kufanya kazi hata kama jua halitakuwepo ambazo ni siku mbili.
Kwa load ya 300watts inverter utakayohitaji ni 300watts × 1.3=400watts
Battery capacity= (300w × 24 ×2)/(12× 0.8) =1500Ah
Dukani hakuna battery la 1500Ah so utachua betri za 200Ah nane.
Wakati wa mchana utahitaji current ya 300watts/12volts = 25A kuendeshea load ya 300 watts.
Pia ili kuweza kucharge betri bank ya 1500Ah utahitaji current ambayo ni 1/10th of the battery capacity which is 150A.
Kwayo current ya ujumla unayotakiwa kuwa nayo ni 150A + 25A =175A ila panel ya 250watts huwa inakuwa na voltage Vmp=30volts
So power = 30V × 175A =5250watts so kupata idadi ya solar panels chukua 5250/250= 21 panels kila moja inakuwa na 250watts. Ambapo 750watts zitatumika kuendesha mtambo wako wakati wa jua na 4500watts zitatumika kucharge betri zako kuweza kukaa siku mbili mbele hatakama jua halitawaka.chager controller tafuta ya MPPT ya 100Amps au zaidi kama utapata.