nanabooty
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 420
- 632
Tena uyo ajaekwa vzur ..mikono wanaitoa nje..alafu anabanwa apo kwenye mgongo anabonyea kwa ndan ...yan anakaa kwa kubinuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hao wabebaji wenyewe hawajabinuka au wao kipindi wakiwa watoto hawakufungwa hivyo na wazazi au walezi wao?Tena uyo ajaekwa vzur ..mikono wanaitoa nje..alafu anabanwa apo kwenye mgongo anabonyea kwa ndan ...yan anakaa kwa kubinuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu.Kaka unapokuwa unasaka maisha usiogope kubaguliwa ili mradi mshahara unapata na rangi yako nyeusi hautaibadiri iwe nyeupe na waafrika wapo kote duniani. North West hakuna mishe za kazi kama majiji mengine. Huku wanaishi watu ambao wengi ni wafanyakazi ama wasiotaka purukushani yaani ni sehemu tulivu jirani kabisa na Botswana
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana...walishtuka bila kuzaa na huo ukimwi kule full kupukutika!Kule kuzaa ni mtaji...mtoto anapesa kila mwisho wa mwezi hadi atimize miaka 18, .. Bado wana misaada midog midog kwa wazaz wasiojiweza...wazee ata kama huna kazi kuna posho ya uzeeni kila mwezi hadi utakapokufa ...wanaishi kizungu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana...walishtuka bila kuzaa na huo ukimwi kule full kupukutika!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati bongo full kunyoosheana vidole...yaaanJamani ...alafu wao ukimwi hauwatishi kabsaaaa...wenyew wanaweka wazi tu na dawa wanaenda kuchkua bila was kabsaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kazi za maofisini SA zinapatikana kwa makwerekwere? Mimi nina taaluma ya IT nataka nikajaribu kutafuta kwa madiba vipi ntatoboa? Wakuu wenye uzoefu ushauri wenu tafadhari
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati bongo full kunyoosheana vidole...yaaan
Ila nimeamini ni vigumu kumjua mtu mwenye huu ugonjwa asee!
Juzi napeleka watoto clinic, namba nilizoziona pale kwenye kituo wala hata hawaoneshi kabisa, wawili wa mtaani kwetu yaani ni wako vizuri kabisa kabisa!
Sent using Jamii Forums mobile app
But ili usiwe stressed ukikosa ajira ni vizuri utoke na pesa kidogo ufanye biashara...Vipi kazi za maofisini SA zinapatikana kwa makwerekwere? Mimi nina taaluma ya IT nataka nikajaribu kutafuta kwa madiba vipi ntatoboa? Wakuu wenye uzoefu ushauri wenu tafadhari
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazo zuri mkuu na capital inawez kuanzia shingap ambayo anawez kuanzisha hat hiz biashar ndogo ndogo??But ili usiwe stressed ukikosa ajira ni vizuri utoke na pesa kidogo ufanye biashara...
Mji kama joburg ata uuze pipi ela unapata kinachowafelisha weng ni maisha ya anasa tu na pombe na mademu..
Ila ukijua kujibana vizuri unatoboa
Kna mshikaj namjua anafanya biashar ya kawaida sn na anaswali swala tano uku bongo anajenga...ukiangalia biashara yake huwez amin..lakin kajiweka mbali na anasa
Sent using Jamii Forums mobile app
December mwaka huu nipo booked. Labda kabla ya hapo.Mkuu Bavaria tujiorganize wanne twendeni December mwaka huu kutembea tu just 1 or 2 weeks.
vipi maeneo yanayopatikana totoz nikitaka kutekenya
Lakini siku 90 zikiisha huwa unaweza ku extend muda wa kukaa sio kitu rahisi kupata work permit ya south africa unatakiwa uwe full documented, labda kwa study permit coz mambo ya shule. Mm kwa kifupi bongo sielewi mwaka huu lazima kieleweke.
Work permit pesa yako tuLakini siku 90 zikiisha huwa unaweza ku extend muda wa kukaa sio kitu rahisi kupata work permit ya south africa unatakiwa uwe full documented, labda kwa study permit coz mambo ya shule. Mm kwa kifupi bongo sielewi mwaka huu lazima kieleweke.
Ukiwa south au tz
Owk thanks!
Nashukuru sana mkuuBut ili usiwe stressed ukikosa ajira ni vizuri utoke na pesa kidogo ufanye biashara...
Mji kama joburg ata uuze pipi ela unapata kinachowafelisha weng ni maisha ya anasa tu na pombe na mademu..
Ila ukijua kujibana vizuri unatoboa
Kna mshikaj namjua anafanya biashar ya kawaida sn na anaswali swala tano uku bongo anajenga...ukiangalia biashara yake huwez amin..lakin kajiweka mbali na anasa
Sent using Jamii Forums mobile app