Uliza swali lolote kuhusiana na kusafiri kwenda nchini Afrika Kusini kwa kutumia barabara

South kuna sehemu inaitwa Benoni, yaani Wazimbabwe wamejaa utadhani wapo kwao Zim..kumbe wapo ukimbizini.

Na Kaki street kwa Wazambia....
 
nauliza kuhusu gharama yakutoka tanzania mpaka cape town kupitia boarder ya tunduma ipoje, na vipi changamoto zake wakati wa safari

Napia kupitia Mozambique vp gharama zake na changamoto zake, mpaka kufika cape town. siku ngapi utachukuwa barabarani mpaka utakapofika...

Nawasilisha
 
Vipi kazi za maofisini SA zinapatikana kwa makwerekwere? Mimi nina taaluma ya IT nataka nikajaribu kutafuta kwa madiba vipi ntatoboa? Wakuu wenye uzoefu ushauri wenu tafadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
Soma hiyo
Screenshot_20200304-023701.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nauliza kuhusu gharama yakutoka tanzania mpaka cape town kupitia boarder ya tunduma ipoje, na vipi changamoto zake wakati wa safari

Napia kupitia Mozambique vp gharama zake na changamoto zake, mpaka kufika cape town. siku ngapi utachukuwa barabarani mpaka utakapofika...

Nawasilisha
Andaa laki sita hadi CAPE TOWN.
TUNDUMA TO JOHBURG MAXIMUM LAKI NNE
JOHBURG TO CAPE TOWN MAXIMUM LAKI MBILI.

HAPO NIMEJUMLISHA KILA KITU HADI KULA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Z
Mimi nauliza kwann HARARE mabus kama INTERCAPE na GREYHOUND yanatukataa WATANZANIA?wakati wa KWENDA SOUTH,,, lakini wakati wa KURUDI hawakatai kutubeba?

Sent using Jamii Forums mobile app
zinatukataa kweli siwajua sie hatukawii kukinukisha zinakwepa pia ule usumbufu wa kupekuliwa san na kupoteza muda njiani km ulishaw kuchunguza ukipand hiz bas zetu na ukipanda za wenzet kuanzia zambia za wenzetu hazisumbuliw san njiani km zetu vile sie tumeshajiharibia kwa tabia zetu
 
nauliza kuhusu gharama yakutoka tanzania mpaka cape town kupitia boarder ya tunduma ipoje, na vipi changamoto zake wakati wa safari

Napia kupitia Mozambique vp gharama zake na changamoto zake, mpaka kufika cape town. siku ngapi utachukuwa barabarani mpaka utakapofika...

Nawasilisha
Msumbiji sikudhauri hakun usafiri was uhakik,rushwa nyingi,language barrier,pia Kuna waasi wa renamo pia dar mpak jorberg andaa lakimbil jorberg to Capetown ni 700 Randi sawa na 120000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cost kidogo upande wako ipo low tuseme ukiwa na kama laki 350 mpaka cape town umefika..

Usafiri kwa upande wako ni upi mpaka kufika, hapa naomba idea maana nataka kufanya cost comparison nazawachangiaji wengine?

Back
Top Bottom