Uliza swali lako mdahalo wa wagombea Urais utakaofanyika Oktoba 18, 2015

Status
Not open for further replies.
Tatizo waandaji wa mdahalo wanaonekana kumbeba Dr. Magufuli tangu kwenye tafiti zao
 
Swali langu naomba ndugu mgombea urais Mh. Magufuri una wake wangapu na je ni kweli una kimada? Je kama hujawa mwamifu katika ndoa yako utaweza kweli kuwa mwaminifu kwa wadanganyika mil 48? Ni hayo tu

Mambo binafsi hayaruhusiwi.. Vinginevyo yule waziri Mkuu mstaafu shoga aliyemgeuza mbunge mwanamme mwenzake kimada angeumbuka. Kataa ushoga tanzania kwa kuikataa UKAWA
 
Swali kwa Dr Magufuli;umekuwa ukijinasibu kama ni mtu uliye tayari kupambana na rushwa,ufisadi na uzembe endapo utapewa ridhaa ya kuiongoza nchi,mbona wizara unayoiongoza inatuhumiwa kuwa na hati chafu na ripoti ya CAG pamoja na taasisi nyingine ambazo ziliwahi kuikagua wizara unayoiongoza?Kama umeshindwa kudhibiti rushwa katika wizara yako moja unayoiongoza je utawezaje kuidhibiti rushwa katika nchi kubwa kama hii?

.....akikujibu hapo unitafute nikununulie lite ya badiiiidi....
 
Kutokana na uzito wa mdahalo na uchaguzi wenyewe kwa Tanzania na nchi za ujirani NAOMBA MDAHALO HUO UWE KWA LUGHA YA KIINGEREZA

Kwanza tutapata pia kujua uwezo wa ushawishi wa viongozi wetu katika nyanja za kimataifa.

NI MUHIMU SANA

Kama ni hivyo ss wakwetu hatashiriki ......maana english course kasimama kwa ajili ya kampeini...........
 
Kama huyu MPUUZI Eyakuze ndiyo mod wa huo mdahalo nina shauri Lowassa asiende!Waache wafanye CCM na wengine!Kijana huyo anatumika na TWAWEZA yake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom