mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 6,607
- 4,902
Vitu gani hivyo?Sio salama ila kuna vitu ukiwa navyo utakuwa saf
Vitu gani hivyo?Sio salama ila kuna vitu ukiwa navyo utakuwa saf
Sasa kweli mtu ambaye umepita azania ni unashupalia swali kuhsu maji kupwa na maji kujaa ? Tena unauliza kuhusu "mafuriko huko maji yanapo kwenda" ? Swali hili kila aliye "bahatika" kupita shule ya sekondari alifundishwa/alijibiwa ??Hivi ukiulizwa swali maana yake anayeuliza hajuwi? Mtu anauliza ili kujuwa upeo wako wa uelewa una level gani..
Kuwa smart mkuu,,
Mimi nimesoma Azania sec ,sikusoma shule za kata,,kama ulivyosoma wewe..
Sasa huko mafia ntakuja na usafiri gani?Hujawahi Fanya hii kazi nakupa njoo nauli kwangu alafu uje uone
Naona jamaa anakwepa maswali anadai watamuona mshirikina...Huu hapa Mkuu wa chuo upitie upate burudani...
Mi nikiwa doro huwa napita pita kwenye comments
Duu,,Sasa kweli mtu ambaye umepita azania ni unashupalia swali kuhsu maji kupwa na maji kujaa ? Tena unauliza kuhusu "mafuriko huko maji yanapo kwenda" ? Swali hili kila aliye "bahatika" kupita shule ya sekondari alifundishwa/alijibiwa ??
Kwahiyo kupwa na kujaa ndio MASWALI MAGUMU ?Duu,,
,basi sitoendelea tena kuuliza maswali magumu mkuu..
Mbona kujibu imekuwa kipengele?Kwahiyo kupwa na kujaa ndio MASWALI MAGUMU ?
Ngoja nikujibu swali lako kisayansi zaidi
Pale nungwi sio kama kuna maji utayaona yanapita au yanatembea kwa kasi
Pale nungwi kuna mstali wa nguvu ya sumaku ya Dunia unakatisha ( EARTH MAGNETIC FIELD)
Ndio maana vyombo vya majini vikipita pale vinayumba na sio tu vyombo vya majini hata Ndege ( aeroplane) inapopita angani katika usawa ule wa Nungwi pia inayumbaView attachment 1483507View attachment 1483508
Ngoja nikujibu swali lako kisayansi zaidi
Pale nungwi sio kama kuna maji utayaona yanapita au yanatembea kwa kasi
Pale nungwi kuna mstali wa nguvu ya sumaku ya Dunia unakatisha ( EARTH MAGNETIC FIELD)
Ndio maana vyombo vya majini vikipita pale vinayumba na sio tu vyombo vya majini hata Ndege ( aeroplane) inapopita angani katika usawa ule wa Nungwi pia inayumbaView attachment 1483507View attachment 1483508
Mkuuu kuwa mchafu kivip?mule ndio maisha yao ila tambua wabaya wapo na wema wapo ondoa khofu mkuu jini akikudhuru baharini kuna namna sio wote wabaya labda uwe mchafu
Wewe unayejua ungeleta unachojua tujifunze. Kajitanabahisha ni nahodha wa majahazi. Wewe unaleta maswali ya darasani kama unamuuliza Mtafiti wa wa baharini.Umenijibu Kienyeji ( Kipuuzi ) sana na hakuna hata Jibu la Kitaalam la Masuala haya ya Bahari ulilojibu hapa. Huna ukijuacho kuhusu Bahari Ndugu.
Mimi sio mleta mada, hivyo sina haja ya kukujibu kwa msaada wa chochote, na ingekuwa kukujibu nisingetaka msaada, niliyasoma hayo miaka mingi iliyopita nilipokuwa nikisoma sekondari. Tizama mleta mada ni nani ndiyo mjibiane kama kuna umuhimu wa kukujibu . Mimi nilishangazwa na na kushupaa kwako kua maji kupwa na kujaa ni SWALI GUMU.Mbona kujibu imekuwa kipengele?
Unajuwa huu uzi wa muda gn!
Nimeuliza pia maji yakijaa yanatokea wapi?
Na yakipunguwa yanakwenda wapi? Maana hata deep sea yanapunguwa pia.
Nadhani utanijibu kwa msaada wa Google..
Hizi Sasa sifa1. Nielekeze kuhusu sababu za kutokea kwa tambarare ya abysmal " abbyssal plains"baharini.
2. Nyufa za kivolkano " volcanic faults" zinazotokea baharini na matokeo yake.
3. Nadharia zinazoelezea maumbile ya baharini.
4. Samaki wanaozalisha umeme wanaopatikana baharini.
5. Kilimo cha zao la mwani na mikoko.