Uliza jambo lolote kuhusu Bahari na safari na vimbwanga vya Baharini

Ndio anaweza safiri ila endapo jahazi itapita mbali na nyumba za majini endapo jahazi ikipita karibu basis muwe makini nae
Sasa tutajuwaje kama tunapita karibu na nyumba za majini? Na inakuwaje kama tukipita hapo naye?
 
Habari zenu waungwana,

Leo nipo hapa kwa ajili ya maswali ambayo yanahusu mambo ya bahari tu. Mimi ni nahodha wa majahazi ya mizigo Mafia, Kisiju, Kilwa, Nyamisati na Koma.

Uliza swali linalohusu maeneo hayo pia kuhusu safari na vimbwanga vya baharini.

Karibuni.
Eti maji chumvi(bahari) hayaingiliani na maji baridi(mto,ziwa..)?
 
1 Uvuvi ni ujuzi au ni kubahatisha tu
2 Unajuwaje sehemu hii ina samaki wakati hutumii gps?
3 Boti ya uvuvi inalaza kiasi gani kwa wiki au mwezi?



Ndukiiiii
Uvuvi ni ujuzi mkuu
 
Back
Top Bottom