Uliza chochote usichokijua na anayekijua atakujibu

Shanga wanazovaa akina dada kiunoni na sehemu nyingine huwa zinatengenezwa wapi?

Kuna viwanda vya kutengeza shanga?

Kuna jamaa anadai shanga huwa zinatoka baharini(kwa Majini) je kuna ukweli katika hili?

Mwenye kujua anijuze tafadhali
 
Wajasiriamali wote ni wafanyabiashara lakini sio wafanyabiashara wote ni wajasiriamali.

Mfanyabiashara anafanya trade tu, exchange of goods/services or buying and selling of goods/services. Mfano, muuza duka anayetafuta hela ya kula, miaka nenda miaka rudi hana maendeleo.(Mfanyabiashara anaweza kuwa na maendeleo lakini anafanya biashara ileile kwa namna ileile, yani hajiongezi)

Mjasiriamali anaenda mbali zaidi, anawaza kuboresha au kukuza biashara yake, kuongeza biashara. Watu wanapoona tatizo, mjasiriamali anaona fursa. Hawa ndo watu wenye mafanikio makubwa kwa kuwa ni wabunifu na wana jicho la mbali la kuona fursa ya biashara.
Nipe tofauti kati ya mfanyabiashara na mjasiriamali?? Je wajasiriamali wote ni wafanyabiashara au wafanyabiashara wote ni wajasiriamali au yote sawa??
 
Wajasiriamali wote ni wafanyabiashara lakini sio wafanyabiashara wote ni wajasiriamali.

Mfanyabiashara anafanya trade tu, exchange of goods/services or buying and selling of goods/services. Mfano, muuza duka anayetafuta hela ya kula, miaka nenda miaka rudi hana maendeleo.(Mfanyabiashara anaweza kuwa na maendeleo lakini anafanya biashara ileile kwa namna ileile, yani hajiongezi)

Mjasiriamali anaenda mbali zaidi, anawaza kuboresha au kukuza biashara yake, kuongeza biashara. Watu wanapoona tatizo, mjasiriamali anaona fursa. Hawa ndo watu wenye mafanikio makubwa kwa kuwa ni wabunifu na wana jicho la mbali la kuona fursa ya biashara.
thanks mkuu
 
Back
Top Bottom