coet mwaka wa 3 mwana amedisko dah inauma sana amerudi mtaa computer sciencenyinyi watoto yaani mzik unaochezwa na ma dada duu wa hkl na hgl mnausema mnene... mnapajua coet kweli nyinyi?? nyinyi watoto mnapajua conas kweli??
Wameisaidia nini Africa?international affairs pia inahusika katika pspa na imetoa viongoz wakubwa tu wa Africa
bora hata mhina mzee wa pan africanism kuliko huyo sansa mpk leo ile koz yak cjui alikuwa anafundsh nnmkuu Dr.Sansa mlimkuta? na Prof. Mhina mshawahi kumuelewa anachofundisha?
ni kama General studies kwa advance mkuu kila Raia lazima asome ukiwa First yr n Compulsory... Pasi kusahau seminars utapresent tu utake usitake....Hata km lugha sio yakwetu....
Computer science haiko Coet. ..college yao inaitwa Coict inapatikana k/nyamacoet mwaka wa 3 mwana amedisko dah inauma sana amerudi mtaa computer science
Akikujibu nitag
Unaweza nitafutia takwimu za ufaulu kwa prog hiyo kwa waliomaliza 2015!?.kila kitu kinaugumu katika field yake,kwa COSS pspa ni mziki mnene