Uliza chochote kuhusu PSPA UDSM

Uliza chochote kuhusu PSPA UDSM

Shekuna

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
688
Reaction score
549
Bachelor of Arts in Political Science and Public administration ni moja kati ya programmes bora zinazotolewa Afrika Mashariki.

UDSM inatoa mafunzo kamilifu na yenye kiwango kikubwa ila kutengeneza Tanzania na Afrika ya baadae.

Kwa swali lolote kuhusu PSPA katika chuo kikuu cha Dar Es Salaam unaweza ukauliza na utajibiwa,hasa wale wanaotarajia kujiunga mwaka wa kwanza ili wasije wakakosea vigezo na masharti katika uombaji..

330f121e500ac7e5494dd6917351e980.jpg
 
Mkuu nliulizwa na mdogoangu hiyo kozi huwa baada ya kusoma ndo anakuwa nani?
 
Mkuu nliulizwa na mdogoangu hiyo kozi huwa baada ya kusoma ndo anakuwa nani?
anakua kiongozi wa uma kama vile mkurugenzi,DC,RC,DAS,RAS,afisa wa idara kama utawala,utumishi etc..pia anaweza akawa afisa uhisiano wa kimataifa,balozi wa nchi mbalimbali,officer wa kampuni na kaz nyingine nying sanaa maana ina uwanja mpana katika sekta binafsi na uma..hata kujiajiri pia anaweza,na anaweza akawa mwanasiasa kama alivyo Jokate ambaye kasoma hiyo pale UD
 
Asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom