jiwe la majiwe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 2,537
- 1,584
Kwani ukifunga statimes ya dish hautalipiaMkuu elewa tz vitu vya bure ni noo sasa bora ufunge statimes ya dish
Kwani ukifunga statimes ya dish hautalipiaMkuu elewa tz vitu vya bure ni noo sasa bora ufunge statimes ya dish
Hivi ukifunga dish ya ft6 hautaangaika na ule ufisadi wa kila mwezi........?K.u ya pili labda utumie dishi ya ft 6mkuu
jinsi ya kuset channel za xx kweny kingamuz cha azamWadau ulizeni chochote kuhusu ving'amuzi viwe azam,continatal'statimes.zuku nk
King'amuzi cha azam kuonyesha channel nusu wakat frequeces zinasoma sawa tatizo linakuwa ni nini??..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukijibiwa nishtuejinsi ya kuset channel za xx kweny kingamuz cha azam
Mkuu naomba kuelekezwa namba ya kuset dish la azam lililopeteza uelekeo.Intensity 16 na quality 0.Wadau ulizeni chochote kuhusu ving'amuzi viwe azam,continatal'statimes.zuku nk
MALIPO YA BEING SPORT YAKOJE,,,,,BEI YA KUNUNUA NA KULIPIA KWA MWEZI.BEiN Sport mzee... Ukipata hiki king'amuzi, mechi zote duniani utazipata in HD quality. Isitoshe wana variety ya michezo from Basketball, NFL, Rugby, Tennis, F1, Baseball, n.k. Wako vizuri mkuu
Uelekeo wa dish la continental kwa mbeya ni sawa na uelekeo wa azam au na frequency zake mkuuWadau ulizeni chochote kuhusu ving'amuzi viwe azam,continatal'statimes.zuku nk
Niko songea nakupataje?Ndio inawezekana Kuna receiver moja ya Kiarabu inatumia GSHARE inashika DSTV na Channel za Middle East
Tuwasiliane 0753932250
Pia nauza server na vingamuzi vya kichina vyenye kushika DSTV
CableJaman! Nisaidien wataalam: natafta channel moja HBO! Wapi napata iyo kitu?
Tumia dish kubwa ambalo ni nch 8 ,unapata vizuriWadau nahitaji kufahamu n dish size gani ambalo litaniwezesha kuipata sattelite ya amos 4w sattelite ambayo ina chaneli za mpira. Mana nimetumia dish la dstv lkn siipati