Uliyempa Gig mimba mungu anakuonaaaa

siwezi bisha lakini...kuna jamaaa alikua mtu wa dini sana alioa malaya aliekua kashindikana pale kitaaa kutokana na yule jamaaa kumjali na kumtunza yule dem alizaa na jamaa watoto watatu na dem alikua ametulia mpaka navo kuambia wamejenga kitunda na mtoto wao wa kwanza yupo form2 ....hao ndo walio nipa fundisho aisee .Hakuna malaya yeyote anayeoenda kufanya kazi ile amin nakuambia tafuta malaya yeyote muulize kiistaraaabu tu kwa nn anapenda hiyo kazi....

Unayo namba ya Gigi nimuulize, nitakurudishia jibu.
 
hakuna kitu kinauma kama kuzaa na malaya, yaani mtaani wote wanakunyooshea kidole mbaya zaidi unafahamu watu 60 walishapiga ila unaonekana ww tu ndo una akili za kindezi kumwagiamo
60 kwa wiki au tangu azaliwe?
 
Ndio sifa ya mwanaume ni mashine , kijana ukimuona kama lezi lezi fulani ila ana mashine ya nguvu, Giggy na ujanja wote hapo katulia .
 
Achen Ujinga Nyie! Unaweza Ukatembea Na Mmoja Tu Na Huyohuyo Mmoja Akakuachia Wadudu(virus) Hivyo Idadi Siyo Tatizo Tatizo Ni Madhara Yatokanayo Na Tendo Hilo. Kwani Ninyi Wote Mmeoa Mabikira? Acha Apate Mtoto Kama Ni Kweli Ingawa Mnamuona Malaya Lkn Hajaharibu Kizazi Chake Injini Iko Vizuri. Na Kuna Wengine Siyo Malaya Lkn Hawajapata Mtoto.
 
Ndo huyu au
X-TIGI_PHOTO%205_20180316_194619.jpg
 
siwezi bisha lakini...kuna jamaaa alikua mtu wa dini sana alioa malaya aliekua kashindikana pale kitaaa kutokana na yule jamaaa kumjali na kumtunza yule dem alizaa na jamaa watoto watatu na dem alikua ametulia mpaka navo kuambia wamejenga kitunda na mtoto wao wa kwanza yupo form2 ....hao ndo walio nipa fundisho aisee .Hakuna malaya yeyote anayeoenda kufanya kazi ile amin nakuambia tafuta malaya yeyote muulize kiistaraaabu tu kwa nn anapenda hiyo kazi....
Njoo sinza nikuonyeshe Malaya waliozaliwa kama Malaya na hawawezi kuacha kwa vyovyote vile
 
Back
Top Bottom