Uliwezaje kumuacha unayempenda?

Make sure unafuta namba hata kama zipo kichwani baada ya miezi kadhaa utazisahau futa kila kitu chake kinacho muhusu

Kuwa na dharau dhidi yake tafuta pisi Kali hata kama hujai+oππba ipost Whatsapp make sure ameona halafu mtwange block then endelea na maisha yako
 
Don’t cry because it’s over, smile because it happened.
 
Ahsante mkuu
 
Ahsante sana mkuu
 
Role no. One"""Futa namba yake na kama kuna kitu alkupa cha zawadi weka mbali au mgawie mtu na jikeep so busy for one month utamsahau ty na jicontrol kutomtafuta wala usitumie nguvu nyingi
 
"pia kuna kibishoo kimoja huwa anakipost status anaweka makopa kopa naumia japo sijawahi muuliza huyo ni nani." [emoji1787]

Tafuta binti yoyote mzuri Mposti kwa makopa kopa.
 
Tabasamu alafu Tena mate chini ,jitafakari then jiulize ni yy tu ndio mzuri dunian,? Ukipata jibu Cheka kwanza alafu enjoy maisha.
 
Move on broo! Mi hata mke wangu akijifanya mjanja mjanja huwa nachukua action za kivita,
 
Tabasamu alafu Tena mate chini ,jitafakari then jiulize ni yy tu ndio mzuri dunian,? Ukipata jibu Cheka kwanza alafu enjoy maisha.
Nmejaribu kufanya hivi nmecheka Sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…