Dah haya mateso ya moyo ni noma. Yasikie au yasome tuu kama hivi jf ila usiyapitie.Natumaini Mu wazima, Nipo kwenye mahusiano na binti mmoja anaitwa Jesca, Tuna kama miezi minne kwenye haya mahusiano.. Mwanzon penzi lilikuwa moto Moto kwan J alikuwa ananipenda Sana, alikuwa ananiheshimu, alikuwa ananisikiliza kila ninachomwambia, hata nikimwambia atokee mageton alikuwa anakuja. Ki ukweli mwanzon mwa haya mahusiano sikuwa na malengo nae, nilipanga nile mbususu na kusepa.. lakin kadri muda ulivyozidi kwenda ndivyo nilivyozidi kumpenda J.
Penzi letu lilikuwa lenye furaha mpka ile siku tuliyofanya sex kwa Mara ya kwanza na J, nakumbuka kabla ya sex tulikuwa tumekubaliana kupima kwanza HIV, Lakin sijui ni nini kilitokea nikajikuta nishafanya sex na J kavu kavu pasipo kupima HIV, Ndipo akili ikaniijia ya kupima HIV. Kwa haraka nikaenda Pharmacy kuchukua vipimo vya HIV hivi vya mdomon, vinaitwa Oralquick HIV test. Baada ya kupima majibu yalionesha postive kwa J na kwangu ilikuwa negative. Ghafla mapigo ya moyo yalienda kasi, joto lilipanda ghafla nikajua tiyari nishaambukizwa Ukimwi japo matumain yalikuwepo kwamba Ntameza
PEP.
Basi kila mmoja alipatwa na taharuki na majibu yale, ikabidi nimtulize J kwa kumwambia huenda hivi vipimo ni fake, nikamshauri twende maabara tukapime tena upya ili kujiridhisha zaidi. Tukapima tena upya kwa kutumia kipimo cha SD Bioline, cha kushangaza majibu yakawa Ni Negative kwa J na kwangu pia ni Negative.
Mimi ni medical personel so sikuridhika moja moja na majibu yale, nikaanza dose ya PEP siku hiyo hiyo ili nisije pata maambukizi, kesho yake nikampeleka J hospital kubwa kwa ajili ya kufanya kipimo kikubwa zaidi cha HIV kinaitwa ELISA. Cha kushangaza tena majibu yakawa ni undeterminate results.. sio postive na sio negative..
Kufupisha story, undeterminate results ilitokana na kwamba J alikuwa na maambukizi ya kirusi kinaitwa herpes virus baada ya vipimo vya herpes kuonesha ni positive, so nikashauriwa nimtibu kwanza huyo kirusi then tupime tena HIV Upya, nilimtafutia dawa J coz ilinibidi tatizo lake nilichukulie kama ni la kwangu...baada ya kumaliza dose tulipima tena HIV Na majibu yakawa ni Negative.
Kilichofanya nije humu kuomba ushauri ni kwamba, kwa haya yote tuliyopitia mimi na J, kumpambania tatizo lake mpaka akapona nmejikuta nampenda sana J, na kushangaza tangu siku ile tumepima HIV na majibu yakawa Neg, J amebadirika sana, mimi ndio naanzisha conversation na sio kawaida, siku hizi hata nikimwambia aje Mageton excuse zinakuwa nyingi, siku akiwa na shida ndio ananitafuta, kiufupi J hajali tena kuhusu mimi, nisipomtafuta mimi ndio imeisha twaweza maliza hata week bila kuwasiliana, pia kuna kibishoo kimoja huwa anakipost status anaweka makopa kopa naumia japo sijawahi muuliza huyo ni nani.
Kuna siku nilimuomba aje mageton nionane nae tuyajenge ili nijue tatizo ni nini, alikuja na akasema hakuna tatizo, kiufupi yeye anaona kila kitu kipo sawa, yaani anataka mimi ndio niamue coz yeye yupo sawa, cha ajabu siku hiyo amekuja kwangu kuna mtu aliempigia simu, J akaomba atoke nje akaongee na simu, Roho inaniuma sanaaa coz mambo ni yale yale,..
Wadau ninaombeni ushauri nifanyaje nitokane na huu mzigo..
N.B Jesca ni fake name.
Siwezi kukushauri kama jina ni fake ..nataka jina lake halisi niangalie nyota yake kwenye chungu changuNatumaini Mu wazima, Nipo kwenye mahusiano na binti mmoja anaitwa Jesca, Tuna kama miezi minne kwenye haya mahusiano.. Mwanzon penzi lilikuwa moto Moto kwan J alikuwa ananipenda Sana, alikuwa ananiheshimu, alikuwa ananisikiliza kila ninachomwambia, hata nikimwambia atokee mageton alikuwa anakuja. Ki ukweli mwanzon mwa haya mahusiano sikuwa na malengo nae, nilipanga nile mbususu na kusepa.. lakin kadri muda ulivyozidi kwenda ndivyo nilivyozidi kumpenda J.
Penzi letu lilikuwa lenye furaha mpka ile siku tuliyofanya sex kwa Mara ya kwanza na J, nakumbuka kabla ya sex tulikuwa tumekubaliana kupima kwanza HIV, Lakin sijui ni nini kilitokea nikajikuta nishafanya sex na J kavu kavu pasipo kupima HIV, Ndipo akili ikaniijia ya kupima HIV. Kwa haraka nikaenda Pharmacy kuchukua vipimo vya HIV hivi vya mdomon, vinaitwa Oralquick HIV test. Baada ya kupima majibu yalionesha postive kwa J na kwangu ilikuwa negative. Ghafla mapigo ya moyo yalienda kasi, joto lilipanda ghafla nikajua tiyari nishaambukizwa Ukimwi japo matumain yalikuwepo kwamba Ntameza
PEP.
Basi kila mmoja alipatwa na taharuki na majibu yale, ikabidi nimtulize J kwa kumwambia huenda hivi vipimo ni fake, nikamshauri twende maabara tukapime tena upya ili kujiridhisha zaidi. Tukapima tena upya kwa kutumia kipimo cha SD Bioline, cha kushangaza majibu yakawa Ni Negative kwa J na kwangu pia ni Negative.
Mimi ni medical personel so sikuridhika moja moja na majibu yale, nikaanza dose ya PEP siku hiyo hiyo ili nisije pata maambukizi, kesho yake nikampeleka J hospital kubwa kwa ajili ya kufanya kipimo kikubwa zaidi cha HIV kinaitwa ELISA. Cha kushangaza tena majibu yakawa ni undeterminate results.. sio postive na sio negative..
Kufupisha story, undeterminate results ilitokana na kwamba J alikuwa na maambukizi ya kirusi kinaitwa herpes virus baada ya vipimo vya herpes kuonesha ni positive, so nikashauriwa nimtibu kwanza huyo kirusi then tupime tena HIV Upya, nilimtafutia dawa J coz ilinibidi tatizo lake nilichukulie kama ni la kwangu...baada ya kumaliza dose tulipima tena HIV Na majibu yakawa ni Negative.
Kilichofanya nije humu kuomba ushauri ni kwamba, kwa haya yote tuliyopitia mimi na J, kumpambania tatizo lake mpaka akapona nmejikuta nampenda sana J, na kushangaza tangu siku ile tumepima HIV na majibu yakawa Neg, J amebadirika sana, mimi ndio naanzisha conversation na sio kawaida, siku hizi hata nikimwambia aje Mageton excuse zinakuwa nyingi, siku akiwa na shida ndio ananitafuta, kiufupi J hajali tena kuhusu mimi, nisipomtafuta mimi ndio imeisha twaweza maliza hata week bila kuwasiliana, pia kuna kibishoo kimoja huwa anakipost status anaweka makopa kopa naumia japo sijawahi muuliza huyo ni nani.
Kuna siku nilimuomba aje mageton nionane nae tuyajenge ili nijue tatizo ni nini, alikuja na akasema hakuna tatizo, kiufupi yeye anaona kila kitu kipo sawa, yaani anataka mimi ndio niamue coz yeye yupo sawa, cha ajabu siku hiyo amekuja kwangu kuna mtu aliempigia simu, J akaomba atoke nje akaongee na simu, Roho inaniuma sanaaa coz mambo ni yale yale,..
Wadau ninaombeni ushauri nifanyaje nitokane na huu mzigo..
N.B Jesca ni fake name.
Sahihi kabisa 😂😂Maumivu hayajakukolea wewe, yakikukolea kwani utauliza!? Utakimbia mwenyewe
🤣🤣🤣🤣Sahihi kabisa 😂😂
"pia kuna kibishoo kimoja huwa anakipost status anaweka makopa kopa naumia japo sijawahi muuliza huyo ni nani." _ snayper 🤣🤣Natumaini Mu wazima, Nipo kwenye mahusiano na binti mmoja anaitwa Jesca, Tuna kama miezi minne kwenye haya mahusiano.. Mwanzon penzi lilikuwa moto Moto kwan J alikuwa ananipenda Sana, alikuwa ananiheshimu, alikuwa ananisikiliza kila ninachomwambia, hata nikimwambia atokee mageton alikuwa anakuja. Ki ukweli mwanzon mwa haya mahusiano sikuwa na malengo nae, nilipanga nile mbususu na kusepa.. lakin kadri muda ulivyozidi kwenda ndivyo nilivyozidi kumpenda J.
Penzi letu lilikuwa lenye furaha mpka ile siku tuliyofanya sex kwa Mara ya kwanza na J, nakumbuka kabla ya sex tulikuwa tumekubaliana kupima kwanza HIV, Lakin sijui ni nini kilitokea nikajikuta nishafanya sex na J kavu kavu pasipo kupima HIV, Ndipo akili ikaniijia ya kupima HIV. Kwa haraka nikaenda Pharmacy kuchukua vipimo vya HIV hivi vya mdomon, vinaitwa Oralquick HIV test. Baada ya kupima majibu yalionesha postive kwa J na kwangu ilikuwa negative. Ghafla mapigo ya moyo yalienda kasi, joto lilipanda ghafla nikajua tiyari nishaambukizwa Ukimwi japo matumain yalikuwepo kwamba Ntameza
PEP.
Basi kila mmoja alipatwa na taharuki na majibu yale, ikabidi nimtulize J kwa kumwambia huenda hivi vipimo ni fake, nikamshauri twende maabara tukapime tena upya ili kujiridhisha zaidi. Tukapima tena upya kwa kutumia kipimo cha SD Bioline, cha kushangaza majibu yakawa Ni Negative kwa J na kwangu pia ni Negative.
Mimi ni medical personel so sikuridhika moja moja na majibu yale, nikaanza dose ya PEP siku hiyo hiyo ili nisije pata maambukizi, kesho yake nikampeleka J hospital kubwa kwa ajili ya kufanya kipimo kikubwa zaidi cha HIV kinaitwa ELISA. Cha kushangaza tena majibu yakawa ni undeterminate results.. sio postive na sio negative..
Kufupisha story, undeterminate results ilitokana na kwamba J alikuwa na maambukizi ya kirusi kinaitwa herpes virus baada ya vipimo vya herpes kuonesha ni positive, so nikashauriwa nimtibu kwanza huyo kirusi then tupime tena HIV Upya, nilimtafutia dawa J coz ilinibidi tatizo lake nilichukulie kama ni la kwangu...baada ya kumaliza dose tulipima tena HIV Na majibu yakawa ni Negative.
Kilichofanya nije humu kuomba ushauri ni kwamba, kwa haya yote tuliyopitia mimi na J, kumpambania tatizo lake mpaka akapona nmejikuta nampenda sana J, na kushangaza tangu siku ile tumepima HIV na majibu yakawa Neg, J amebadirika sana, mimi ndio naanzisha conversation na sio kawaida, siku hizi hata nikimwambia aje Mageton excuse zinakuwa nyingi, siku akiwa na shida ndio ananitafuta, kiufupi J hajali tena kuhusu mimi, nisipomtafuta mimi ndio imeisha twaweza maliza hata week bila kuwasiliana, pia kuna kibishoo kimoja huwa anakipost status anaweka makopa kopa naumia japo sijawahi muuliza huyo ni nani.
Kuna siku nilimuomba aje mageton nionane nae tuyajenge ili nijue tatizo ni nini, alikuja na akasema hakuna tatizo, kiufupi yeye anaona kila kitu kipo sawa, yaani anataka mimi ndio niamue coz yeye yupo sawa, cha ajabu siku hiyo amekuja kwangu kuna mtu aliempigia simu, J akaomba atoke nje akaongee na simu, Roho inaniuma sanaaa coz mambo ni yale yale,..
Wadau ninaombeni ushauri nifanyaje nitokane na huu mzigo..
N.B Jesca ni fake name.
"pia kuna kibishoo kimoja huwa anakipost status anaweka makopa kopa naumia japo sijawahi muuliza huyo ni nani." _ snayperNatumaini Mu wazima, Nipo kwenye mahusiano na binti mmoja anaitwa Jesca, Tuna kama miezi minne kwenye haya mahusiano.. Mwanzon penzi lilikuwa moto Moto kwan J alikuwa ananipenda Sana, alikuwa ananiheshimu, alikuwa ananisikiliza kila ninachomwambia, hata nikimwambia atokee mageton alikuwa anakuja. Ki ukweli mwanzon mwa haya mahusiano sikuwa na malengo nae, nilipanga nile mbususu na kusepa.. lakin kadri muda ulivyozidi kwenda ndivyo nilivyozidi kumpenda J.
Penzi letu lilikuwa lenye furaha mpka ile siku tuliyofanya sex kwa Mara ya kwanza na J, nakumbuka kabla ya sex tulikuwa tumekubaliana kupima kwanza HIV, Lakin sijui ni nini kilitokea nikajikuta nishafanya sex na J kavu kavu pasipo kupima HIV, Ndipo akili ikaniijia ya kupima HIV. Kwa haraka nikaenda Pharmacy kuchukua vipimo vya HIV hivi vya mdomon, vinaitwa Oralquick HIV test. Baada ya kupima majibu yalionesha postive kwa J na kwangu ilikuwa negative. Ghafla mapigo ya moyo yalienda kasi, joto lilipanda ghafla nikajua tiyari nishaambukizwa Ukimwi japo matumain yalikuwepo kwamba Ntameza
PEP.
Basi kila mmoja alipatwa na taharuki na majibu yale, ikabidi nimtulize J kwa kumwambia huenda hivi vipimo ni fake, nikamshauri twende maabara tukapime tena upya ili kujiridhisha zaidi. Tukapima tena upya kwa kutumia kipimo cha SD Bioline, cha kushangaza majibu yakawa Ni Negative kwa J na kwangu pia ni Negative.
Mimi ni medical personel so sikuridhika moja moja na majibu yale, nikaanza dose ya PEP siku hiyo hiyo ili nisije pata maambukizi, kesho yake nikampeleka J hospital kubwa kwa ajili ya kufanya kipimo kikubwa zaidi cha HIV kinaitwa ELISA. Cha kushangaza tena majibu yakawa ni undeterminate results.. sio postive na sio negative..
Kufupisha story, undeterminate results ilitokana na kwamba J alikuwa na maambukizi ya kirusi kinaitwa herpes virus baada ya vipimo vya herpes kuonesha ni positive, so nikashauriwa nimtibu kwanza huyo kirusi then tupime tena HIV Upya, nilimtafutia dawa J coz ilinibidi tatizo lake nilichukulie kama ni la kwangu...baada ya kumaliza dose tulipima tena HIV Na majibu yakawa ni Negative.
Kilichofanya nije humu kuomba ushauri ni kwamba, kwa haya yote tuliyopitia mimi na J, kumpambania tatizo lake mpaka akapona nmejikuta nampenda sana J, na kushangaza tangu siku ile tumepima HIV na majibu yakawa Neg, J amebadirika sana, mimi ndio naanzisha conversation na sio kawaida, siku hizi hata nikimwambia aje Mageton excuse zinakuwa nyingi, siku akiwa na shida ndio ananitafuta, kiufupi J hajali tena kuhusu mimi, nisipomtafuta mimi ndio imeisha twaweza maliza hata week bila kuwasiliana, pia kuna kibishoo kimoja huwa anakipost status anaweka makopa kopa naumia japo sijawahi muuliza huyo ni nani.
Kuna siku nilimuomba aje mageton nionane nae tuyajenge ili nijue tatizo ni nini, alikuja na akasema hakuna tatizo, kiufupi yeye anaona kila kitu kipo sawa, yaani anataka mimi ndio niamue coz yeye yupo sawa, cha ajabu siku hiyo amekuja kwangu kuna mtu aliempigia simu, J akaomba atoke nje akaongee na simu, Roho inaniuma sanaaa coz mambo ni yale yale,..
Wadau ninaombeni ushauri nifanyaje nitokane na huu mzigo..
N.B Jesca ni fake name.
Nakuelewa hii hali nilishawahi kuipitiaDah! Kila nilijaribu kumpotezea nashindwa, najikuta nashoboka tu kumtafuta
Maumivu hayajakukolea wewe, yakikukolea kwani utauliza!? Utakimbia mwenyewe

Jessica keshapata mwingine. Na mwanamke akishafikia hatua ya kukudharau mpaka kuanza kukuiginoa jua kuwa huna chako hapo. Ushaachwa japo hujui!
Napitia hali kama yako lakini mimi nilishausoma mchezo mapema so nikajiandaa kisaikolojia. Nadunda tu kivyangu yaani!
Mapenzi ya siku hizi ni mguu nje ndani na hakuna kuaminiana 100% maana watu sijui wamekuwaje maana ubinadamu na aibu vimetoweka. Pole!

paragraph ya 3 nimecheka sana , Mimi nikiona manzi anaanzisha hizo drama kabla. Hatujafika pabaya jambo la kwanza Huwa Nina futa namba zake aiseee tusi sumbuane