Uliwezaje kumuacha unayempenda?

Tatfa dem mwingne hakikisha anamzidi uzuri J au kama sio kumzidi basi awe sio wa kichoko na kuanzia leo futa namba, conversation zake usumsave tena wala usimtafte utaumia lakini jikaze ukimpata dem mpya mpe mda wako mwingi hii itakusaidia kumsahau taratibu J hata huyo utakae mpata hakikisha huingii mzima.
NB. hawa Mbwa hawaeleweki tangu karne ya kwanza kwahyo ukimpata ishi nae kwa kupretend ili akisepa we unatoboa na dem mwngne Life linasonga.
 
Dah haya mateso ya moyo ni noma. Yasikie au yasome tuu kama hivi jf ila usiyapitie.
 
Siwezi kukushauri kama jina ni fake ..nataka jina lake halisi niangalie nyota yake kwenye chungu changu
 
Kumekuchaa .Kubali tu mwamba kwa sasa hupendwi hata utoe sababu gani .I am strong enough to let it go haya maneno aliyasema Ngwair Clouds FM baada ya kukatwa Ngwala na Cheed Benz huko masebuleni .Ishi nayo.
Nakubali
 
"pia kuna kibishoo kimoja huwa anakipost status anaweka makopa kopa naumia japo sijawahi muuliza huyo ni nani." _ snayper 🤣🤣
 
"pia kuna kibishoo kimoja huwa anakipost status anaweka makopa kopa naumia japo sijawahi muuliza huyo ni nani." _ snayper
 
Ndugu yangu una option tatu ... Machaguo yako Ni matatu..

1.Kibinadam Fanya yako utembee ushaumizwa apo vumilia jiweke mbali nae hakuna namna.. (chagua kuzama na boti ufe au jiokoe ruka wachwa penzi lizame)

2.Piga manyanga ... a.k.a mtalamu msuke uyo mtt tia kwa kibuyu ... Ubaya ubaya .. weka jini nasisitiza kam sio mke mwache aende

3.Endelea kuumia nakat waeza jiokoa .. muda mwingin nafsi hupenda kushauriwa kile unacho dhani Ni sahihi... Ko pambana uwende ukashinda ... In other words ( Your fighting the losing battle )


Nawasilisha..
 
Demu ana kuburuza !!! Una umri gani mkuu tuanzie hapo kwanza . [emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] paragraph ya 3 nimecheka sana , Mimi nikiona manzi anaanzisha hizo drama kabla. Hatujafika pabaya jambo la kwanza Huwa Nina futa namba zake aiseee tusi sumbuane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…