Uliwezaje kumuacha unayempenda?

Utaja kufa buree kisa mtu ambae hana habari na wewe. Hebu achana nae bwana kwanza kakupa stress na kirusi chake hicho hujui Mungu anakuepushia nini muda mwingine binadamu wagumu kweli mpk liwakute jambo ndo mnara wa akili utasoma
 
Dah! Kila nilijaribu kumpotezea nashindwa, najikuta nashoboka tu kumtafuta
 
Nashukuru sana mkuu
 
Dah! Nashukur sana mkuu, PEP zinapatikana Hospital yeyote coz zipo kwa ajiri ya emergency, Haswa kitengo cha CTC huko zipo za kutosha, na zinatolewa bure kabisa
 
Aisee kama umemtibu herpes inatosha mkuu...hiyo gonjwa asije akatuletea sisi mkuu
 
pia kuna kibishoo kimoja huwa anakipost status anaweka makopa kopa naumia japo sijawahi muuliza huyo ni nani.
 
pia kuna kibishoo kimoja huwa anakipost status anaweka makopa kopa naumia japo sijawahi muuliza huyo ni nani.
Asee mkuu, kule kwenye uzi wako wa vituko mtandaoni, kuna picha moja umetipia la jamaa kaweka kichwa getini!!! 🤣🤣🤣🤣
🙌🏾🙌🏾🙌🏾

Nimeiomba kamati kuu ikupe ubalozi, wamesema hilo wanalitazama.
 
Hahahaha[emoji23]
 
Pole lakini huyu siyo wako. Naomba usilazimishe kuwa naye, usitumie pesa wala dawa.
 
Shida wanaume tunapoona madem zetu wameanza kwenda nje ya line tunaonesha tumepagawa kama vile tunawahitaji sana.

Kumbe ndo anazidi kukuona boya uko desparate.

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Kupenda ni upofu bro, unakuwa unaona kabisa mapicha picha kama yote lakin unakuwa hutaki kuamini kama ni kweli huna chako tena
 
Kumekuchaa .Kubali tu mwamba kwa sasa hupendwi hata utoe sababu gani .I am strong enough to let it go haya maneno aliyasema Ngwair Clouds FM baada ya kukatwa Ngwala na Cheed Benz huko masebuleni .Ishi nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…