Uliwaza nini??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uliwaza nini???

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Jonogomero, Mar 28, 2012.

 1. Jonogomero

  Jonogomero Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kukopa wakati huna uwezo wa kulipa.... Uliwaza nnini???

  Kuvaa kata k aka mlegezo wakati chupi chafu..... Uliwaza nini???

  Kula kavu kavu wakati unajua anaumwa ngoma.... Uliwaza nini???

  Kupanda daladala wakati unajua huna nauli..... Uliwaza nini???

  Kuwanunulia bia na kujifanya unazo wakati familia yako inalia njaa... Uliwaza nini???
  ........!!!!!!!!.......??? ...... Hivi uliwaza nini??????????....
   
 2. M

  Mahmoud Qaasim JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 922
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 60
  hakuna kuwaza wala kufikiri zaidi ya ujinga mtupu
  ahsante, ujumbe umefika
   
 3. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kwenda toilet bila water wakati unajua maji yamekatika.....
   
 4. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Kuja na jamaa zako wakati umealikwa mwenyewe na huna hela....
   
 5. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kuishabikia ccm wakati unaona maisha magumu je uliwaza nini?
   
 6. m

  mwanakaya Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Kuandika thread hii huku ukijua haina maana.....uliwaza nini?
   
 7. Safina

  Safina JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 498
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuisoma mpaka mwisho na unajua haina maana.
   
 8. Safina

  Safina JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 498
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Kujifanya unampiga kibuti, na yeye akaona poa, poa, wakati yeye ndo unayempenda.
   
 9. Me370

  Me370 JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ku reply wakati unajua haina maana.... uliwaza nini?
   
Loading...